Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

- Kusoma Maandiko.
-Kucheza na Algorithms, hapa ngoja nifiche.
-Kuperuzi mambo mbalimbali hasahasa finance mtandaoni.
 
Ni kweli... Ninafurahia kuwa mwenyewe muda mwingi sababu inanifanya najifunza mambo mengi. Pia nikiwa kwenye makundi ya watu wengi mara nyingi wanaongea vitu vya uongo na Mimi nashindwa kuvumilia kukosoa
Typical introvert: perfectionist!

Usichokijua ni kuwa inawezekana wenzako wanaposema uongo hawajui kuwa wanaongopea!

Ukimkuta typical extrovert kama sanguine, anaweza akakutukana Asubuhi na baada ya masaa kadhaa akasahau kuwa alikutukana,

Au akakuambia usubirie akuandalie kinywaji lakini ghafla akaingia kwenye stori zingine na akasahau kukutimizia alichokuahidi!
 
Mkuu hebu edit ulichoandika ili nikupate ila mpaka sasa nimeelewa hapo pa kuacha mjani ili niwe na hela kama sjakose ila nikuambie mjani siachi hela hizi ninazotafuta ndio level yangu nikizidisha tu nachanganyikiwa napenda kwenda kwa stage mkuu
Nashukuru mkuu🙏, nimeshaedit ingawa umenivunja moyo kusema huachani na jani hata ukipewa mabilioni ya pesa kwa siku 😃😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…