Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

Naona watu wakinywa wanatapika na kulalamika kichwa kinauma kila asubuhi.
Waulize vizuri..
Binafsi sijawahi kutapika kisa wine.. au wanakunywaga bila kula?

Dodoma kule si kuna zile wine za kupima.. pesa kidogo wine dumu zima. Na wanachuo tena, birthday kidogo.. madumu ya wine kibao. Hiyo ya wine haipatanani na wali nilijifunzia huko.. so nikawa naepuka.
 
That's my point exactly 😍😘... yani hata nikispend 50k per meal hua haiumi,, kwanza sio kila siku naumiaje😆😆
Haha
Haka ka kitu mdogo wangu alitaka kuiga.. tulienda sehemu bufee elf 65k per person’ self service.
akapenda…. kamerudi chuo, naona kanapost Johari Rotana, nikasema wee mtoto!! Boom likikata hujamaliza miezi minne tusikusikie
 
-kupiga chabo
-kupiga nyeto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…