Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

😂😂😂 kumbe mko wengi mshamba_hachekwi

Tumekaa palee mashangazi
Tutawachangia matibabu pale mapafu yatakaposumbua
Mkuu
Sijui kama club unaendaga ila mimi club nilikua nafata mademu
Ilikua easy kwa sababu pia napenda mziki sasa wenzako wanapiga ma hanson choice ma wine na matakataka mengine wewe kwako peupeee
Mimi na pombe hatuendani kabisa nikaanza shisha sio kwamba ni pro wa shisha sana no kawaida tu ili na mimi niwe na kitu cha kusogeza muda

Kuhusu mapafu😁😁😁
YOLO hata usipovuta utaded mama
 
Hiyo ni addiction hutaacha
Mi ndo napotezea muda wangu wote humo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna moja hio ilifikia pazuri halafu nakuja kupewa taarifa na yeye haitokuwepo season 2 actors wameshindwana malipo nikachukia kabisa

Sema zipo poa hazina mambo ya ovyo ovyo kama wamarekani

Its fresh air compared na movie za kimarekani ambazo lazima nude scenes ziwepo ili ziuze👍🏽
 
Back
Top Bottom