Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

Unakutana na mtu anakuuliza, unakunywa pombe? Unavuta sigara nk ukimjibu hapana situmii vyote anakwambia lazima starehe yako itakuwa kusex.

Je kuna ukweli wowote katika hili?
We starehe U Hobby yako ni ipi? Tiririka, ikifanana na ya mwenzio ruksa kufahamiana zaidi

Binafsi napenda- Kusikiliza muziki laini.
-Kufanya mazoezi
-Kuangalia Movie
-Kuchart na marafiki,
-Pia napenda sana kusafiri sehemu mbalimbali.
Gym kwangu ndio starehe yangu pendwa lkn tangu nilivyo ambiwa nikiwndelea nazidi kuutanua moyo itaniletea shida sasa starehe nyingine sijui
 
Hii ndio starehe kamili

IMG_20231111_201602.jpg
 
Back
Top Bottom