mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
niliangalia tu risks..... nikaamua zanguMkuu kilitokea nini nipe mrehesho kabla sijafika mbali maana sijui wewe ulikua unavutaje😁😁😁
kufulia kipindi flani kulisaidia pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niliangalia tu risks..... nikaamua zanguMkuu kilitokea nini nipe mrehesho kabla sijafika mbali maana sijui wewe ulikua unavutaje😁😁😁
Ndo mana mi nimehamia hukuKuna moja hio ilifikia pazuri halafu nakuja kupewa taarifa na yeye haitokuwepo season 2 actors wameshindwana malipo nikachukia kabisa
Sema zipo poa hazina mambo ya ovyo ovyo kama wamarekani
Its fresh air compared na movie za kimarekani ambazo lazima nude scenes ziwepo ili ziuze👍🏽
Ah mimi sivuti sana mara moja after two weeks nikienda club sasa sijui we ulikua unavutajeniliangalia tu risks..... nikaamua zangu
kufulia kipindi flani kulisaidia pia
Ah mi naonaga mara nyingi ni tambi mkuuNdo mana mi nimehamia huku
Hamna usodoma na ugomora humu
Unatazamana adi na watoto wako na wazazi pia
Na bado zitakufurahisha vibaya mno
Nimezicheki adi nimejikuta nimekua mpenzi wa kula kama wao yale mavyakula yao🤣🤣🤣
Wewe kwa stori uzi wa rikiboy ungesema unapenda mpira wanachama na wasomaji wa kule tungeingilia kati😁Kuchakata Mbususu.
utajua mwenyewe, kama kitu hujakipa umuhimu huwezi kuelewaAh mimi sivuti sana mara moja after two weeks nikienda club sasa sijui we ulikua unavutaje
Usikute ulivuta na mtungi wako home😁😁😁👍🏽 Naona kama hapo ndo madhara yanakuja hivi au
Sio kuchart ni kuchat mkuu.Unakutana na mtu anakuuliza, unakunywa pombe? Unavuta sigara nk ukimjibu hapana situmii vyote anakwambia lazima starehe yako itakuwa kusex...
Ndio kakimodo kalikokuteka ulikaongelea mahala Nini 😁😁😁?Mbona sasa siyo mnene 😳🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Series ipi shouzzz??Just watching movies especially series!
Wanawake hawapendi kula tu bali wanapenda kula ovyo ovyo.Kila mwanamke ninayekutana nae anasema anapenda kula, itakuwa ni tabia yenu
Daaah(kwa masikitiko makubwa)Eeh, Mimi naunga humo humo.
I will be there… but shetty asipewe nafasi 😘Akiniumiza nitakuja Njiro unibembeleze😍
Amen❤️I will be there… but shetty asipewe nafasi 😘