Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

Kuna moja hio ilifikia pazuri halafu nakuja kupewa taarifa na yeye haitokuwepo season 2 actors wameshindwana malipo nikachukia kabisa

Sema zipo poa hazina mambo ya ovyo ovyo kama wamarekani

Its fresh air compared na movie za kimarekani ambazo lazima nude scenes ziwepo ili ziuze👍🏽
Ndo mana mi nimehamia huku

Hamna usodoma na ugomora humu

Unatazamana adi na watoto wako na wazazi pia

Na bado zitakufurahisha vibaya mno

Nimezicheki adi nimejikuta nimekua mpenzi wa kula kama wao yale mavyakula yao🤣🤣🤣
 
Ah mi naonaga mara nyingi ni tambi mkuu

Usinambie una chopsticks kwenye kabati 😁😁😁
 
Back
Top Bottom