Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Gym kwangu ndio starehe yangu pendwa lkn tangu nilivyo ambiwa nikiwndelea nazidi kuutanua moyo itaniletea shida sasa starehe nyingine sijuiUnakutana na mtu anakuuliza, unakunywa pombe? Unavuta sigara nk ukimjibu hapana situmii vyote anakwambia lazima starehe yako itakuwa kusex.
Je kuna ukweli wowote katika hili?
We starehe U Hobby yako ni ipi? Tiririka, ikifanana na ya mwenzio ruksa kufahamiana zaidi
Binafsi napenda- Kusikiliza muziki laini.
-Kufanya mazoezi
-Kuangalia Movie
-Kuchart na marafiki,
-Pia napenda sana kusafiri sehemu mbalimbali.