Royal Son
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 1,677
- 3,174
Natumaini mko Salama niende moja kwa moja kwenye Mada Pombe naona inaharibu sana vijana hasa kanda ya kaskazini unakuja kijana rika moja ameshazeeka Arusha na Kilimanjaro ndio tunapoteza nguvu kazi kabisa. Je pombe ndio mbaya ?
Au ndio wameshindwa kuzimudu ?
Viongozi wa Dini zote wamesema wamekemea na wanakemea
Nini Sulihusho
Nawatakia Jumapili njema na Tulivu
Au ndio wameshindwa kuzimudu ?
Viongozi wa Dini zote wamesema wamekemea na wanakemea
Nini Sulihusho
Nawatakia Jumapili njema na Tulivu