Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Mtindo wa maisha unawatis stress sana kiasi kwamba wameshapoteza tumaini.Natumaini mko Salama niende moja kwa moja kwenye Mada Pombe naona inaharibu sana vijana hasa kanda ya kaskazini unakuja kijana rika moja ameshazeeka Arusha na Kilimanjaro ndio tunapoteza nguvu kazi kabisa. Je pombe ndio mbaya ?
Au ndio wameshindwa kuzimudu ?
Viongozi wa Dini zote wamesema wamekemea na wanakemea
Nini Sulihusho
Nawatakia Jumapili njema na Tulivu
Wanawake wao ni wakali sana na wana akili kuliko wanaume, kitendo hiki kinamweka ktk nafasi ya unyonge Mtoto wa kiume.
Kupenda maisha bora wakati huna kipato hupelekea kuanguka kiuchumi mapema na hovyo kukata tamaa mapema zaidi na huishia kujiliwaza ktk anasa za pombe na ngono