Maisha ni kuchagua✅Wazalishaji wa masanga wenyewe, wanasema kunywa kupita kiasi na hatari Kwa afya yakoo..
Maisha ni kuchagua lakini
Ningeshangaa kukukosa huku bamtu😂Ishi maisha yako wakuharibika waharibike wakukaa vizuri wakae , wanaotumia pombe ni watu wazima meno 32 huna Cha kuwabadili wasipoamua wenyewe
Acheni kujipa umuhimu kwenye maisha ya wengine gademitt.
Maisha ni kucahgua.vijana wakiwa na akili zao timamu wakachagua uleviNatumaini mko Salama niende moja kwa moja kwenye Mada Pombe naona inaharibu sana vijana hasa kanda ya kaskazini unakuja kijana rika moja ameshazeeka Arusha na Kilimanjaro ndio tunapoteza nguvu kazi kabisa. Je pombe ndio mbaya ?
Au ndio wameshindwa kuzimudu ?
Viongozi wa Dini zote wamesema wamekemea na wanakemea
Nini Sulihusho
Nawatakia Jumapili njema na Tulivu
Dulayo mbona kaharibika na pombeBora kuharibika na pombe huku kuliko kuharibika kwa ushoga na unga huko dar es salaam!!
Nb:🤔
Ingekuwa kuna Ndugu/Jamaa usingesema haya manenoIshi maisha yako wakuharibika waharibike wakukaa vizuri wakae , wanaotumia pombe ni watu wazima meno 32 huna Cha kuwabadili wasipoamua wenyewe
Acheni kujipa umuhimu kwenye maisha ya wengine gademitt.
Mkuu bila watu kula beer uchawi utashamili!!Natumaini mko Salama niende moja kwa moja kwenye Mada Pombe naona inaharibu sana vijana hasa kanda ya kaskazini unakuja kijana rika moja ameshazeeka Arusha na Kilimanjaro ndio tunapoteza nguvu kazi kabisa. Je pombe ndio mbaya ?
Au ndio wameshindwa kuzimudu ?
Viongozi wa Dini zote wamesema wamekemea na wanakemea
Nini Sulihusho
Nawatakia Jumapili njema na Tulivu
Wapo wengi tu ,na ni watu wazima Sio watoto ,na wamechagua wenyewe huo mfumo wa maishaIngekuwa kuna Ndugu/Jamaa usingesema haya maneno
Wanatumia hadi watoto. Ulevi wanaanza mapemaaa, mwisho sasa ndio wamelegeaa hawawezi chochote.Ishi maisha yako wakuharibika waharibike wakukaa vizuri wakae , wanaotumia pombe ni watu wazima meno 32 huna Cha kuwabadili wasipoamua wenyewe
Acheni kujipa umuhimu kwenye maisha ya wengine gademitt.
Naunga mkono hojaWamekuomba ugali wa kulisha familia zao ? Mtu hela atafute mwenye umpangie matumizi? Acha ziwauwe haikuhusu
Wanaotoboa wanajidunga na wasio toboa wanajidunga pia , hapo tofauti ni unajidunga niniUnywaji huo wa pombe uliopitiliza huko Kilimanjaro na Chugga, Kuna jambo la kisaikolojia linahusika...japo sio la moja kwa moja.
Hiyo mikoa miwili ina vijana wapambanaji sana, na ni miongoni mwa mikoa yenye vijana wengi wapambanaji waliosambaa Tanzania yote.
Kutokana na hali hiyo, katika rika kuna wanaotoboa na wanaoshindwa.
Wanaoshindwa wanaamua 'kujidunga' na wengine wanaiga.