Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Mtindo wa maisha unawatis stress sana kiasi kwamba wameshapoteza tumaini.Natumaini mko Salama niende moja kwa moja kwenye Mada Pombe naona inaharibu sana vijana hasa kanda ya kaskazini unakuja kijana rika moja ameshazeeka Arusha na Kilimanjaro ndio tunapoteza nguvu kazi kabisa. Je pombe ndio mbaya ?
Au ndio wameshindwa kuzimudu ?
Viongozi wa Dini zote wamesema wamekemea na wanakemea
Nini Sulihusho
Nawatakia Jumapili njema na Tulivu
Mleta mada amezungumzia wale wanaokunywa na kuchakaa na kuwa kama wazee.....aliyejipata huu mrengo haumhusu!!Wanaotoboa wanajidunga na wasio toboa wanajidunga pia , hapo tofauti ni unajidunga nini
Hapo mchawi chakula na anakunywa niniMleta mada amezungumzia wale wanaokunywa na kuchakaa na kuwa kama wazee.....aliyejipata huu mrengo haumhusu!!
Hao ndio walipa kodi wakubwa pia.Natumaini mko Salama niende moja kwa moja kwenye Mada Pombe naona inaharibu sana vijana hasa kanda ya kaskazini unakuja kijana rika moja ameshazeeka Arusha na Kilimanjaro ndio tunapoteza nguvu kazi kabisa. Je pombe ndio mbaya ?
Au ndio wameshindwa kuzimudu ?
Viongozi wa Dini zote wamesema wamekemea na wanakemea
Nini Sulihusho
Nawatakia Jumapili njema na Tulivu
MnoHao ndio walipa kodi wakubwa pia.
Yn uyo duh! Alikua hb mwenyewDulayo mbona kaharibika na pombe
Wivu tu unamtafuna tuendelee na bia zetu mkuu.Ishi maisha yako wakuharibika waharibike wakukaa vizuri wakae , wanaotumia pombe ni watu wazima meno 32 huna Cha kuwabadili wasipoamua wenyewe
Acheni kujipa umuhimu kwenye maisha ya wengine gademitt.
Kunywa kistaharabuWivu tu unamtafuna tuendelee na bia zetu mkuu.
Mbona unaanza kuleta dalili za wokovu?Kunywa kistaharabu
Kwamba ulokole?Mbona unaanza kuleta dalili za wokovu?
Mbona kutumia Jani ni kosa kisa linaharibu ubongo. Vivyo hivyo ulevi kupitiliza unaharibu akili.Ishi maisha yako wakuharibika waharibike wakukaa vizuri wakae , wanaotumia pombe ni watu wazima meno 32 huna Cha kuwabadili wasipoamua wenyewe
Acheni kujipa umuhimu kwenye maisha ya wengine gademitt.