Pombe kali za bei rahisi zinaliharibu taifa letu. Vijana wanahariba afya. Nguvu kazi ya taifa inatekeketea

Unanifundisha kupiga mswaki, kutumia mouth wash haya asante
 
Tunywe tukumbuke usafi jamani, ukishaona unakunywa hadi kuoga na kuswaki unasahau jua wewe ni kero kwa hata unayelala nae,
 
Unanifundisha kupiga mswaki, kutumia mouth wash haya asante

Hapana tunazungumzia walevi uliosema wananuka vinywa baada ya mitungi ndio nikaona tukumbushane maana hua ni kero sana ukipiga mitungi ukawa mchafu sio kabisa
 
Mtoa mada anaitwa Muuza Kangala na moja ya vinywaji anavyolalamikia vinaitwa Kangara
Hivi vinywaji/pombe kali zimechangia kupunguza idadi kubwa ya vijana ningependa kushauri serikali ili kuwepo na kizazi/taifa la kesho lenye nguvu na afya njema isitishe hivi vinywaji vinavyozalishwa kwa nia mbaya ya kuharibu vijana wetu . suala lingine ni hizi pool table sasahiv adi watoto wa shule wanacheza ikiwa ni kinyume cha sheria
 
Hapana tunazungumzia walevi uliosema wananuka vinywa baada ya mitungi ndio nikaona tukumbushane maana hua ni kero sana ukipiga mitungi ukawa mchafu sio kabisa
Siwez kaa karibu na mtu anaekunywa vipombe hivo
 
Ndio uraibu wake ni kama uteja wa unga haina tofauti hasa mtu anayegeuka kua mtumwa anataka kila siku apige lazima imtoe nje na kumwaibisha juu na hawezi kufanya hata kazi kwa ufanisi
Kuna njia ya kumsaidia? Au dawa ya kumpa
 
Exactly,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…