Pombe kali za bei rahisi zinaliharibu taifa letu. Vijana wanahariba afya. Nguvu kazi ya taifa inatekeketea

Pombe kali za bei rahisi zinaliharibu taifa letu. Vijana wanahariba afya. Nguvu kazi ya taifa inatekeketea

Miswaki inayoshauriwa ni iliyochongoka ndio hufika sehemu zote za kinywa
IMG_0850.jpg
 
Kwanza anaenuka mdomo au kinywa ni uchafu wake, unatakiwa usafishe kinywa asubuhi na kila usiku unapotaka kulala, halafu ukioga usisahau kusafisha tundu za pua na makwapani usafishe vyema weka na deodorant yako ili kuzuia jasho kwapani, namna ya kuswaki ni kuweka dawa awamu ya kwanza unasukutua kinywa chote kwa usahihi na ulimi utoe kwa nje na kusafisha vyema, halafu tema ile dawa weka tena dawa awamu ya pili then sukutua kama awamu ya kwanza na ulimi usukutue tena, na hakikisha unamimina listerin mouth wash nusu kifuniko chake ndio usukutue tena kabla ya kuweka maji kinywani, ile mouthwash usiimeze sukutua then tema halafu sasa weka maji awamu ya kwanza tema, weka maji awamu ya pili kinywani then sukutua bila dawa ili kusuuza kinywa na ulimi usinuke harufu ya dawa, maana kuna mtu anaswaki akiongea mbele yako ni colgate tupu au whitedent tupu kinywa kizima,
Unanifundisha kupiga mswaki, kutumia mouth wash haya asante
 
Tunywe tukumbuke usafi jamani, ukishaona unakunywa hadi kuoga na kuswaki unasahau jua wewe ni kero kwa hata unayelala nae,
 
Unanifundisha kupiga mswaki, kutumia mouth wash haya asante

Hapana tunazungumzia walevi uliosema wananuka vinywa baada ya mitungi ndio nikaona tukumbushane maana hua ni kero sana ukipiga mitungi ukawa mchafu sio kabisa
 
Mtoa mada anaitwa Muuza Kangala na moja ya vinywaji anavyolalamikia vinaitwa Kangara
Hivi vinywaji/pombe kali zimechangia kupunguza idadi kubwa ya vijana ningependa kushauri serikali ili kuwepo na kizazi/taifa la kesho lenye nguvu na afya njema isitishe hivi vinywaji vinavyozalishwa kwa nia mbaya ya kuharibu vijana wetu . suala lingine ni hizi pool table sasahiv adi watoto wa shule wanacheza ikiwa ni kinyume cha sheria
 
Hapana tunazungumzia walevi uliosema wananuka vinywa baada ya mitungi ndio nikaona tukumbushane maana hua ni kero sana ukipiga mitungi ukawa mchafu sio kabisa
Siwez kaa karibu na mtu anaekunywa vipombe hivo
 
Ndio uraibu wake ni kama uteja wa unga haina tofauti hasa mtu anayegeuka kua mtumwa anataka kila siku apige lazima imtoe nje na kumwaibisha juu na hawezi kufanya hata kazi kwa ufanisi
Kuna njia ya kumsaidia? Au dawa ya kumpa
 
kifupi hata hizo pombe kali za bei ghali nazo nyingi zake ni fake labda ukazinywe new africa, hyatt nk ila huko kwingind eti unauziwa Jack D au Hainessy vingunguti au Tabata unatambaa mwenyewe umelipa 100k unajiona mwamba kumbe umeuziwa gongo ya mavi kutoka chanika....
Exactly,
 
Back
Top Bottom