Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanifundisha kupiga mswaki, kutumia mouth wash haya asanteKwanza anaenuka mdomo au kinywa ni uchafu wake, unatakiwa usafishe kinywa asubuhi na kila usiku unapotaka kulala, halafu ukioga usisahau kusafisha tundu za pua na makwapani usafishe vyema weka na deodorant yako ili kuzuia jasho kwapani, namna ya kuswaki ni kuweka dawa awamu ya kwanza unasukutua kinywa chote kwa usahihi na ulimi utoe kwa nje na kusafisha vyema, halafu tema ile dawa weka tena dawa awamu ya pili then sukutua kama awamu ya kwanza na ulimi usukutue tena, na hakikisha unamimina listerin mouth wash nusu kifuniko chake ndio usukutue tena kabla ya kuweka maji kinywani, ile mouthwash usiimeze sukutua then tema halafu sasa weka maji awamu ya kwanza tema, weka maji awamu ya pili kinywani then sukutua bila dawa ili kusuuza kinywa na ulimi usinuke harufu ya dawa, maana kuna mtu anaswaki akiongea mbele yako ni colgate tupu au whitedent tupu kinywa kizima,
Unanifundisha kupiga mswaki, kutumia mouth wash haya asante
Hapana, anachosema ni kweli kabisa nguvu kazi inaangamia...Waachie Maisha yao
Hivi vinywaji/pombe kali zimechangia kupunguza idadi kubwa ya vijana ningependa kushauri serikali ili kuwepo na kizazi/taifa la kesho lenye nguvu na afya njema isitishe hivi vinywaji vinavyozalishwa kwa nia mbaya ya kuharibu vijana wetu . suala lingine ni hizi pool table sasahiv adi watoto wa shule wanacheza ikiwa ni kinyume cha sheriaMtoa mada anaitwa Muuza Kangala na moja ya vinywaji anavyolalamikia vinaitwa Kangara
Siwez kaa karibu na mtu anaekunywa vipombe hivoHapana tunazungumzia walevi uliosema wananuka vinywa baada ya mitungi ndio nikaona tukumbushane maana hua ni kero sana ukipiga mitungi ukawa mchafu sio kabisa
Hii ni dawa ya ndio aisee
Kuna njia ya kumsaidia? Au dawa ya kumpaNdio uraibu wake ni kama uteja wa unga haina tofauti hasa mtu anayegeuka kua mtumwa anataka kila siku apige lazima imtoe nje na kumwaibisha juu na hawezi kufanya hata kazi kwa ufanisi
Package yake ni fire
Ila wanadai zinaongeza nguvu za kiumeHasa kwenye nguvu za kiume ndio janga kubwa wanawake wengi wanalia huko
Perfomance zao za kitandani wewe umezijuaje??Hizi pombe ni kali zaidi hata ya gongo, zinaharibu afya ya vijana wengi nguvu kazi ya taifa. Vijana wanakauka, wanakunywa bila kula, zinaharibu kila kitu maana wanashindwa hata kuperform kitandani.
Muulize mama yakoPerfomance zao za kitandani wewe umezijuaje??
Mimi natumia hii
Exactly,kifupi hata hizo pombe kali za bei ghali nazo nyingi zake ni fake labda ukazinywe new africa, hyatt nk ila huko kwingind eti unauziwa Jack D au Hainessy vingunguti au Tabata unatambaa mwenyewe umelipa 100k unajiona mwamba kumbe umeuziwa gongo ya mavi kutoka chanika....
hata bia zisizo na hangover like windhoek, Heineken nk fake ni nyingi mnoo!Zile wanazojumua tiptop nyingi fake tu test hua tofauti sana na OG