Pombe kali za bei rahisi zinaliharibu taifa letu. Vijana wanahariba afya. Nguvu kazi ya taifa inatekeketea

IMG_0840.jpg
 
Hukuti wamepiga picha wanazionea sana v.s.o.p
Hata Dom perignon sijawahi kuonaga mtu anakunywa

700000 hadi 1200000 unadhani mchezo wakati kiwanja hicho lakini wacongo kinshasa wanazitandika vizuri niliona wamezungusha kama kawaida, nikachapa ka red label nikaona nikalale tu mapema
 
Ila wakongo wana sifaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaa
Huku champagne mtu akinywa sana MOET & CHANDON 250k nayo hawaichezei

Michezo yote ni Hennessey Vsop bwana
 
Nilikua nimetoka port matadi nimechoka nikasema niingie kiwanja vaaap wamekuchafulia meza ilikua club yao naona ya madon tu nje kwanza palinistua parking ilivo nikasema hapa natambaa nao tu muhini utanieleza nini, niliishia red label ndogo nikasema bado ligi zangu za smart gin, unakunywa ukiamka kesho unapiga tena hesabu imekaaje jua hapo bado unajikongoja tu *****
 
Bongo savanna tu ni anasa.!!
Ukiagiza watu wanakuangalia kama muuaji [emoji23][emoji23][emoji23]hizo ligi waachie Lumumbashi[emoji23][emoji23]
 
( يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ )

المائدة (90) Al-Maaida

Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.

Ongezea na hii
Kwahiyo kama hutaki kufanikiwa ruksa..basi sawa ngoja tuburudike bakini na mafanikio yenu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom