Pombe kali za bei rahisi zinaliharibu taifa letu. Vijana wanahariba afya. Nguvu kazi ya taifa inatekeketea

Pombe kali za bei rahisi zinaliharibu taifa letu. Vijana wanahariba afya. Nguvu kazi ya taifa inatekeketea

Acha basi kwa ninyi jamaa anawahi kukueleza hapa inabidi ustue kama tatu hivi savana ujue ukizidisha unamkwaza tu
Hio moja tu ni mpaka malaika wa bwana ampashe habari... kwamba binti anakunywa savanna[emoji23][emoji23][emoji23]
Akikupa wine anaweza kukuua
 
Ni maneno ya Mwenyezi Mungu aloletewa mtume wetu kupitia Malaika Jibril ili ayafikishe kwa Umma wake
Uma wa waarabu ama??

Sisi huku afrika tuna tandika ulanzi..wanzuki..moshi..changaa..berenge..nipa n.k kwa kwenda mbele.

#MaendeleoHayanaChama
 
Uma wa waarabu ama??

Sisi huku afrika tuna tandika ulanzi..wanzuki..moshi..changaa..berenge..nipa n.k kwa kwenda mbele.

#MaendeleoHayanaChama
Endelea kusoma bado sana kijana
 
Nilijaribu kumzuia ndugu fulani kupiga hizi pombe, siku moja nikamfungia geti asitoke, kufika saa 4 asubuhi akaanza kutetemeka na kutoa jasho

Hawezi kukaa sehemu moja anatembea tembea, mara ashike hichi mara aingie ndani atoke, nikajua huyu tayari kashaharibikiwa.

Unaweza kusema mtu kalogwa kumbe ni addiction ya pombe,

Tuzuie watoto wasiguse haya matapu tapu tokea udogoni maana wakishaanza hawaachi.
 
Nimekuliza hilo neno kwa kiswahili linatamkwaje siyo hayo maneno maneno mengi

Mf SUN - JUA
 
Nilifakamia chupa ya mls 750, nilitapika Damu pona yangu ilikuwa ni drips. Sitaki pombe tena.

Ulitaka kujiua, hizi spirits zina taratibu zake za kunywa, kwanza hua inashauriwa upige shots ndogo ndogo sana, lakini pia maji usiache kunywa hata kama itakua yenyewe tu bila kuiwekea kinywaji kingine, lakini kama unaweza tafuta taste yake isiyokuchosha ( coktails) tia mixer ices na udambwidambwi mwingine, uwe pia umekula umeshiba lakini ukifakamia kama unatafuta ushindi lazima yakuchoshe mwili na akili
 
Nilijaribu kumzuia ndugu fulani kupiga hizi pombe, siku moja nikamfungia geti asitoke, kufika saa 4 asubuhi akaanza kutetemeka na kutoa jasho

Hawezi kukaa sehemu moja anatembea tembea, mara ashike hichi mara aingie ndani atoke, nikajua huyu tayari kashaharibikiwa.

Unaweza kusema mtu kalogwa kumbe ni addiction ya pombe,

Tuzuie watoto wasiguse haya matapu tapu tokea udogoni maana wakishaanza hawaachi.

Ndio uraibu wake ni kama uteja wa unga haina tofauti hasa mtu anayegeuka kua mtumwa anataka kila siku apige lazima imtoe nje na kumwaibisha juu na hawezi kufanya hata kazi kwa ufanisi
 
Hizi pombe ni kali zaidi hata ya gongo.

Zinaharibu afya ya vijana wengi. Nguvu kazi ya taifa.

Vijana wanakauka. Wanakunywa bila kula. Zinaharibu kila kitu maana wanashindwa hata kuperform kitandani.
umeshawahi kunywa gongo au unaongea tu
 
Na wakinywa wananuka vby mno

Kwanza anaenuka mdomo au kinywa ni uchafu wake, unatakiwa usafishe kinywa asubuhi na kila usiku unapotaka kulala, halafu ukioga usisahau kusafisha tundu za pua na makwapani usafishe vyema weka na deodorant yako ili kuzuia jasho kwapani, namna ya kuswaki ni kuweka dawa awamu ya kwanza unasukutua kinywa chote kwa usahihi na ulimi utoe kwa nje na kusafisha vyema, halafu tema ile dawa weka tena dawa awamu ya pili then sukutua kama awamu ya kwanza na ulimi usukutue tena, na hakikisha unamimina listerin mouth wash nusu kifuniko chake ndio usukutue tena kabla ya kuweka maji kinywani, ile mouthwash usiimeze sukutua then tema halafu sasa weka maji awamu ya kwanza tema, weka maji awamu ya pili kinywani then sukutua bila dawa ili kusuuza kinywa na ulimi usinuke harufu ya dawa, maana kuna mtu anaswaki akiongea mbele yako ni colgate tupu au whitedent tupu kinywa kizima,
 
Back
Top Bottom