Pombe kali za bei rahisi zinaliharibu taifa letu. Vijana wanahariba afya. Nguvu kazi ya taifa inatekeketea

Pombe kali za bei rahisi zinaliharibu taifa letu. Vijana wanahariba afya. Nguvu kazi ya taifa inatekeketea

Mimi naishi uchaggani. Hali ni mbaya mnoo.

Ila kwakuwa watu wanachotaka ni pesa, hakuna anayejali.
 
kifupi hata hizo pombe kali za bei ghali nazo nyingi zake ni fake labda ukazinywe new africa, hyatt nk ila huko kwingind eti unauziwa Jack D au Hainessy vingunguti au Tabata unatambaa mwenyewe umelipa 100k unajiona mwamba kumbe umeuziwa gongo ya mavi kutoka chanika....
Mkuu hizo za Vingunguti au Tabata zina wezekana zikawa original kuliko unavyo fikiria, Jamii inayoushi maeneo hayo ndiyo wanafanya kazi kwenye Maduka au magodown ya nayo tunza hivyo vinywaji kwaiyo kutoka navyo inakuwa rahisi.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Hizi pombe ni kali zaidi hata ya gongo, zinaharibu afya ya vijana wengi nguvu kazi ya taifa. Vijana wanakauka, wanakunywa bila kula, zinaharibu kila kitu maana wanashindwa hata kuperform kitandani.
Ni kweli
 
Tandika na Keko vijana wanapukutika mno ! wengi wanakufa wenyewe wakiwa wamekaa tu maskani
 
kuna moja hapa maarufu sana pemba inaitwa samson sijaiona hapa ile kitu ni balaa , sijawahi kuiona popote ni pemba tu lakini inatengenezwa Dar 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom