Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hizo za Vingunguti au Tabata zina wezekana zikawa original kuliko unavyo fikiria, Jamii inayoushi maeneo hayo ndiyo wanafanya kazi kwenye Maduka au magodown ya nayo tunza hivyo vinywaji kwaiyo kutoka navyo inakuwa rahisi.kifupi hata hizo pombe kali za bei ghali nazo nyingi zake ni fake labda ukazinywe new africa, hyatt nk ila huko kwingind eti unauziwa Jack D au Hainessy vingunguti au Tabata unatambaa mwenyewe umelipa 100k unajiona mwamba kumbe umeuziwa gongo ya mavi kutoka chanika....
Huyo ni kitoko aliyechangamka.Hanson's choice nayo ni mbaya?
hii kitu inatembea hadi inatisha
Daah mbna huwa naona ni nzuri kuliko valuu...Huyo ni kitoko aliyechangamka.
mbaya ukilinganisha na ipiHanson's choice nayo ni mbaya?
Soma kichwa cha uzi kakambaya ukilinganisha na ipi
Ni kweliHizi pombe ni kali zaidi hata ya gongo, zinaharibu afya ya vijana wengi nguvu kazi ya taifa. Vijana wanakauka, wanakunywa bila kula, zinaharibu kila kitu maana wanashindwa hata kuperform kitandani.
Nimemuuliza kasema eti wewe ni shoga ndio maana umejua.Muulize mama yako
ni spirit hiyo kunywa beer (ngano)Hanson's choice nayo ni mbaya?
Pombe inatwa 'Spirit' tena 'Portable Spirit'kuna usalama kweli hapo?
Daa! Inasikitisha sana. Tuwasaidie vijana wetu wasiendelee kuangamia.Tandika na Keko vijana wanapukutika mno ! wengi wanakufa wenyewe wakiwa wamekaa tu maskani
Ila watu wengine aisee.. nmecheka sana..Kunafaida gani ya kufa na ini zima??
#MaendeleoHayanaChama