Pombe ni starehe isiyofaa

Naona nyuzi nyingi sana za ku dis POMBE
Jamani tunaomba ieleweke too much of everything is harmful....
Pombe sio Tatizo Tatizo ni watu wenyewe...
Umeandikiwa Drinking responsible.....au Don't drive when taking alcohol....
Usizidishe kipimo chako huo NDIO unywaji...
Mbona nchi za barid wana kunywa pombe na hazi watawali........
 
To jump in to conclusion, ni kua Kuna wanywaji na walevi.....
 
Babu yangu kavuta sigara/tumbaku na gongo kila siku tangu akiwa 16, kafa na 88, mtoto wake wa mwisho kamzaa akiwa 70, haya mambo hayana formula maana wengine kabla ya 50 figo, Miguel, nguvu za kiume na mapafu kwisha kabisa, kunywa ila anything can happen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…