Ntakuzibua
JF-Expert Member
- Oct 3, 2018
- 714
- 1,253
Point hii hapa pombe mchaw wake maji na msos tena msos HeavyPombe ukila vizuri haiwezi kukuumiza hata siku moja huyo hali vizuri na maji hanywi ya kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point hii hapa pombe mchaw wake maji na msos tena msos HeavyPombe ukila vizuri haiwezi kukuumiza hata siku moja huyo hali vizuri na maji hanywi ya kutosha
Naona nyuzi nyingi sana za ku dis POMBEWenyewe husema Ukiinywa kwa taadhari kubwa haina Shida. Tatizo Ni kwamba huwezi kunywa kiasi kidogo kila siku, lazima uongeze gradually kadiri siku zinavyoenda hadi ikuharibu magoti.
Kuna fundi ujenzi nilimwomba anifanyie kazi fulani, eti akaogopa kusimama juu ya pipa kisa maungo ya mifupa hayana nguvu, chanzo ni pombe.
Kwa upande wangu naona Bora hata bangi iruhusiwe halafu pombe ipigwe marufuku kwani sijawahi kumuona mvutabangi anakosa nguvu ya Kufanya kazi au anasababisha ajali barabarani tofauti na walevi wa pombe wafanyavyo.
Hata Matatizo ya nguvu za kiume huwakumba watu Wengi wanaotumia vinywaji vikali.
To jump in to conclusion, ni kua Kuna wanywaji na walevi.....Kama Daudi Nabii alicheza uchi sababu ya pombe, vipi wewe Binadamu tu wa kawaida?
Ke na Me wengi sana wamejikuta wakifanyiwa ujinga wa uasherati na usodoma wakiambukizwa magonjwa ya zinaa na hata UKIMWI sababu ya kutojitambua wakiwa wameshalewa, baada ya akili kurudi tu wanatambua walishaharibiwa sehemu zao za siri.
Kunywa pombe kwa starehe yako lakini usijaribu kuitetea kuwa haina matatizo kabisa hapo tutakesha hapa tukibishana.