Kwani wewe umelewanaweza ukawa na mtu karibu anaongea upuuzi usijue kama kalewa.
Na vinanywekwa ile mbaya niko Mto wa Mbu hapa Arusha aisee ni balaaNi viroba katika chupa za plastiki zenye kilevi cha 40 kikiwa kidogo unaweka hadi mfukoni hata mtoto anaweka, wanasema havina harufu kali so unaweza ukawa na mtu karibu anaongea upuuzi usijue kama kalewa...
Naona Dar es salaam kila kijana akikutana naye anaomba kisunguraNa vinanywekwa ile mbaya niko Mto wa Mbu hapa Arusha aisee ni balaa
Malezi ya watoto toka wakiwa wadogoWatu wazima kufundishwa kulinda afya zao kweli? Mtu makitu hayo ni makali, yana ladha kali unayanywa utadhani yanakupa virutubisho mwilini ile hali yanakuletea maradhi mwilini siku za baadae kwasababu ya kuchosha viungo muhimu vya mwilini.
Nadhani ifike muda hili jukumu la kukemea matumizi ya bidhaa haramu libakie ngazi ya familia, nyumba za ibada na hata mitaala ya elimu iwaelimishe watoto juu ya madhara ya hizi vitu kama wataanza mazoea ya kujihusisha navyo.
Kwa hapa Dar kisungura ndio kinatamba. Ndio muda wao Smart Gin kupiga helaNaona Dar es salaam kila kijana akikutana naye anaomba kisungura
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Alcohol 40 ile hatari sanaKwa hapa Dar kisungura ndio kinatamba
Bei poa stimu fasta elfu 2000 tuuNaona Dar es salaam kila kijana akikutana naye anaomba kisungura
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka ya baadaye kutakuwa na tatizo kubwa la magonjwa ya ini, figo, kisukari, upungufu wa nguvu za kiume n.k
Na siku zote bei ikishakuwa chini husababisha demand ya vilevi vya aina hii kuwa juuBei poa stimu fasta elfu 2000 tuu
Hiyo mitaa ukielekea mpaka Mbulu ni balaa yaani mpaka unawaonea huruma...Na vinanywekwa ile mbaya niko Mto wa Mbu hapa Arusha aisee ni balaa
Ngoja twende Muhimbili tufanye utafiti tuone waliolazwa kwa magonjwa tajwa hapo juu kama walikuwa wanatumia kitu kama "Visungura" au ni story tu!Miaka ya baadaye kutakuwa na tatizo kubwa la magonjwa ya ini, figo, kisukari, upungufu wa nguvu za kiume n.k
Mkuu ukianza kuondoka pita hapa njiani mbugani makuyuni kama unaingia jeshini. Nipungie hata mkono kaka au ita tu Sura ya shetaniNa vinanywekwa ile mbaya niko Mto wa Mbu hapa Arusha aisee ni balaa
Mkuu kwa comment yako hii unaingia mbinguni moja kwa moja! Kuna watu wanajitwisha mapombe ya Russia kila siku lakini sijaona wanakemewa lkn huyu mkombozi wa mnyonge wananza kumwandama.Ikiitwa Valuer, Grants, Black label, Green label, Gordons, Joh Walker, Cîroc, Captain Morgan, Jack Daniels, Fireball, Hennessey, Vodka, ..e.t.c. inakuwa siyo shida?
Au tatizo vifungashio?
Bubu zenu wamekunywa, gongo, nipa, lubisi n.k, hawakufa.
Acheni hizo mambo.
Kila mtu na anywe kwa upana wa mfuko wake.
Kwanza wana waunga mkono wenye viwanda vya ndani siyo kila siku kumchangia beberu na mrusi.
Kama kiwango cha alcohol hakijazidi kinacho ruhusiwa kwa matumizi ya vinywaji vikali hakuna shida. Ipo taasisi inayo pitia viwango na kuhakiki usalama wa watumiaji pombe.