Pombe yaua Mhudumu wa Baa aliyekunywa bila kula

Pombe yaua Mhudumu wa Baa aliyekunywa bila kula

Pombe huwa inasababisha mwili kuishiwa maji,sasa katika unywaji wako kama hukula,au kunywa maji ya kutosha kabla ya kunywa au hukula chakula ambacho kingesaidia kupunguza kiasi cha ukali wa pombe,mwisho wa siku kama utakuwa umekunywa pombe nyingi sana kitakachofuata ni kwikwi kali ,na iwapo hakutakuwa na mtu wa kukusaidia mapema lazima utakwenda na maji...
 
Back
Top Bottom