Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
-
- #41
Hii ni assumption tuMarehemu yeye alitanguliza watu (wenyeji)wakamtengenezea mazingira.
Lile jani kupewa ilikuwa michongo ishatangulizwa .
“Moja kati ya adhabu kubwa ya kukataa kushiriki au kujihusisha na Siasa pamoja na Uongozi ni kwamba Utaishia kutawaliwa au Kuongozwa na watu wenye uwezo Mdogo kuliko wewe”-PlatoKila nikikutana nayo hii napata kichefuchefu.
Such a halfwit...
Hakuna mchaga mjinga wa kumkubali huyu bibiMtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.
Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.
Mwamba wa Africa??My foot! Hizo sifa hata Nyerere hanaMwamba wa Afrika na shujaa wa Karne... hakuna na hapatakuwa na Rais kama JPM. Apumzike kwa amani
walio tandika isale ni MATAGA na walisombwa na malori kutoka huko TANGA.Mtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.
Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.
Acha kumfananisha Magufuli na wanasiasa wa ajabu ajabuMwamba wa Africa??My foot! Hizo sifa hata Nyerere hana
Inasikitisha sana kuona bado kuna watu wanampigia chapuoMataputapu ni Rais fisadi ambae anahamasisha ufisadi kwenye Serikali yake bila aibu tena kupitia TV ya Taifa[emoji1782][emoji1782][emoji1782][emoji116]View attachment 2091218
Mtangulizi wake
Tena yule ndie hakufaa kabisa na wala hakustahili kupewa heshima ile.Mtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.
Hahah ila bado aliwanyoosha sio? Ugomvi wake na Wachagga ulianzia wapi kwani? Wanamchukia sana!Alidharaulika sana. Wachaga walimwita majina mabaya ya kila namna. Labda useme aliogopeka kwa ukatili, siyo kukubalika.
Aliua kwa maslahi mapana ya Taifa labda!Magufuli alikuwa msanii sana yule mzee harafu mazezeta ya tanzania yakamuamini! utasikia tumtegemee Mungu kumbe usiku muuaji hatari!
Subiri akija kwako utamfanyia yote hayo na zaidi.Tena yule ndie hakufaa kabisa na wala hakustahili kupewa heshima ile.
Mama yetu SSH nashauri wachaga akija huko mpeni stahiki zote za kichaga;
1. Apewe mbege kwenye 'kibata' na arie bila kujali itikadi yake. ( msimpe kwa kitochi au albam)
2. Apikiwe machalari ya nguvu kwa jogoo (tena na wamama wataalamu)
3. Achezewe mbasa ya nguvu (nae aombwe kushiriki kwa kucheza),
Naona wewe ndugu yangu siyo Mchagga wala hujasoma na Wachagg, haya utakuwa kuna mtu kakuambia. Isale si majani ya heshima, ni majani ya suluhu (pardon the pan!).Mtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.
Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.
Kwa kuua watu sawaMwamba wa Afrika na shujaa wa Karne... hakuna na hapatakuwa na Rais kama JPM. Apumzike kwa amani
Kumkaribisha kwa majani ya isale haina maana ya kumkubali, ni ishara ya kumuogopa. JPM alitisha watu kwa baadhi ya matendo yake haukuwa ni upendo ulikuwa ni uoga.Mtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.
Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.