Pomoja na Chief Marialle kumpigia chapuo chifu Hangaya Wachaga hawamkubali sana, hawajamkaribisha kwa majani ya isale kama mtangulizi wake

Kila nikikutana nayo hii napata kichefuchefu.
Such a halfwit...
“Moja kati ya adhabu kubwa ya kukataa kushiriki au kujihusisha na Siasa pamoja na Uongozi ni kwamba Utaishia kutawaliwa au Kuongozwa na watu wenye uwezo Mdogo kuliko wewe”-Plato
EIw0.jpg
 
Mtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.

Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.
walio tandika isale ni MATAGA na walisombwa na malori kutoka huko TANGA.
 
Kwanini huyu mama kila siku yupo kaskazini? Sijawahi kumsikia akienda Rukwa, Katavi, Kigoma. Kila siku Arusha, Kilimanjaro! Tumemchoka huku..aende na Mtwara huko
 
Wamarangu wanajifanya ku dominate wachagga, ona wamecheza ngoma ya ajabu wakati kuna sehemu zenye ngoma nzuri za burudani na zinazoeleweka. Bora wapare wamekuja kulitwanga jukwaa wakidhani ni makande
 
Mtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.
Tena yule ndie hakufaa kabisa na wala hakustahili kupewa heshima ile.
Mama yetu SSH nashauri wachaga akija huko mpeni stahiki zote za kichaga;
1. Apewe mbege kwenye 'kibata' na arie bila kujali itikadi yake. ( msimpe kwa kitochi au albam)
2. Apikiwe machalari ya nguvu kwa jogoo (tena na wamama wataalamu)
3. Achezewe mbasa ya nguvu (nae aombwe kushiriki kwa kucheza),
 
Alidharaulika sana. Wachaga walimwita majina mabaya ya kila namna. Labda useme aliogopeka kwa ukatili, siyo kukubalika.
Hahah ila bado aliwanyoosha sio? Ugomvi wake na Wachagga ulianzia wapi kwani? Wanamchukia sana!
 
Tena yule ndie hakufaa kabisa na wala hakustahili kupewa heshima ile.
Mama yetu SSH nashauri wachaga akija huko mpeni stahiki zote za kichaga;
1. Apewe mbege kwenye 'kibata' na arie bila kujali itikadi yake. ( msimpe kwa kitochi au albam)
2. Apikiwe machalari ya nguvu kwa jogoo (tena na wamama wataalamu)
3. Achezewe mbasa ya nguvu (nae aombwe kushiriki kwa kucheza),
Subiri akija kwako utamfanyia yote hayo na zaidi.
 
Mtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.

Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.
Naona wewe ndugu yangu siyo Mchagga wala hujasoma na Wachagg, haya utakuwa kuna mtu kakuambia. Isale si majani ya heshima, ni majani ya suluhu (pardon the pan!).
 
Kwani wachagga ni kina nani kwenye ili Taifa hata wasipomkubali ituhusu, kamkoa kenyewe kadogo wapiga kura wenyewe ni wachadema hata wakipewa rushwa wanakula ela na kura wanawapa Chadema.
 
Mtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.

Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.
Kumkaribisha kwa majani ya isale haina maana ya kumkubali, ni ishara ya kumuogopa. JPM alitisha watu kwa baadhi ya matendo yake haukuwa ni upendo ulikuwa ni uoga.

Mama hatishi watu, anakaribisha watu katika maongezi na hata katika mahusiano ya jumla. Anaruhusu demokrasia ishamiri.
 
Back
Top Bottom