Magufuli alikuwa anaogopwa sana na hao wachagga ndio walikuwa wanamuogopa kupita maelezo. Tuache apumzike lakini nchi hii kupata mtu anayeogopwa na kuheshimika kama yule itachukua karne
SSH ndie rahisi bora ,wewe endelea na ukabila wako wa CDMMtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.
Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.
AsanteeeeTena yule ndie hakufaa kabisa na wala hakustahili kupewa heshima ile.
Mama yetu SSH nashauri wachaga akija huko mpeni stahiki zote za kichaga;
1. Apewe mbege kwenye 'kibata' na arie bila kujali itikadi yake. ( msimpe kwa kitochi au albam)
2. Apikiwe machalari ya nguvu kwa jogoo (tena na wamama wataalamu)
3. Achezewe mbasa ya nguvu (nae aombwe kushiriki kwa kucheza),
Mtwara bado kuna vita!!Kwanini huyu mama kila siku yupo kaskazini? Sijawahi kumsikia akienda Rukwa, Katavi, Kigoma. Kila siku Arusha, Kilimanjaro! Tumemchoka huku..aende na Mtwara huko
Kma ulivyo Fala wwe hulazimishi kuelewa komaza fuvu lako tuIko wazi..script za kubumba zilikua nyingi sana..ila mafala waliamini jamaa anapendwa.
Mwamba wa Afrika na shujaa wa Karne... hakuna na hapatakuwa na Rais kama JPM. Apumzike kwa amani
Tupe vigezo vinavyo kufanya uamini kuwa alikuwa anaheshimika!
Na wake waliomzika maelfu aliwatengeneza marehemu?Marehemu yeye alitanguliza watu (wenyeji)wakamtengenezea mazingira.
Lile jani kupewa ilikuwa michongo ishatangulizwa .
Magufuli alikubalika hadi ulaya na amerika na africa yote kama ingepigwa kula ya maraisi afrika jpm angechukua 90% ushahidi ni kovidi chadema na mbowe wameimiza watu kuchanja ila hata wanachama wa chadema wamegoma kwa mamilioni wanakubal8 njia ya jpm ,samia kaonyesha msisitizo wa yeye mwenyewe kuchanja ila wanaccm wenzake pia wamegoma wanafuata jpm way sasa unataka ushahidi ganiIko wazi..script za kubumba zilikua nyingi sana..ila mafala waliamini jamaa anapendwa.
Walikimbia ukatili wakeLema na Lissu walikimbia nchi... dogo hilo[emoji3]
Waafrika waliokufa kishujaa na kizarendo kwa kujitoa sadaka kwa ajili ya watu wanyonge tunawaita " MIZIMU" ila wazungu au waarabu waliokufa kwa ajilinya kutetea watu wanyonge na haki wakina Yesu na Muhammad tunawaita mitume na manabii tena tukiwakumbuka amsemi ni mizimuUtaendekea kuabudu mizimu kwa maana nawe ni mzimu.
Mbona wachaga mnayaishi maneno yake amjaenda kuchanja kumuunga mkono gaidi mbowe maana mbowe alisema mkachanjeAlidharaulika sana. Wachaga walimwita majina mabaya ya kila namna. Labda useme aliogopeka kwa ukatili, siyo kukubalika.
Una tujua Wachagga Kwa kusikia au Kwa kutuona wewe?!!..Nani alimuogopa JPM?!!....Magufuli alikuwa anaogopwa sana na hao wachagga ndio walikuwa wanamuogopa kupita maelezo. Tuache apumzike lakini nchi hii kupata mtu anayeogopwa na kuheshimika kama yule itachukua karne
Kwani wachaga ndio kina nani HAPA mpaka wamkubariMtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.
Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.
Mbowe ameleta chanjo akiwa gerezani ukonga. Nchi inachezewa kwa uzezeta wa watanzania.Mbona wachaga mnayaishi maneno yake amjaenda kuchanja kumuunga mkono gaidi mbowe maana mbowe alisema mkachanje
Kaa kimya pumbavu mkubwa. Acha kudandia mada wakati huna akili.Kwani wachaga ndio kina nani HAPA mpaka wamkubari
Alie mshauri wamkamate Mbowe kachemkaMtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.
Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.
usisahau kahawa akiwa geitaUmenikumbusha jinsi jamaa alivyo kuwa anajifanya kununua mahindi ya kuchoma kutoka kwa muuza mahindi mwenye binduki mfukoni