Pomoja na Chief Marialle kumpigia chapuo chifu Hangaya Wachaga hawamkubali sana, hawajamkaribisha kwa majani ya isale kama mtangulizi wake

Pomoja na Chief Marialle kumpigia chapuo chifu Hangaya Wachaga hawamkubali sana, hawajamkaribisha kwa majani ya isale kama mtangulizi wake

Magufuli alikuwa anaogopwa sana na hao wachagga ndio walikuwa wanamuogopa kupita maelezo. Tuache apumzike lakini nchi hii kupata mtu anayeogopwa na kuheshimika kama yule itachukua karne

Unamhitaji?
 
Mtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.

Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.
SSH ndie rahisi bora ,wewe endelea na ukabila wako wa CDM
 
Tena yule ndie hakufaa kabisa na wala hakustahili kupewa heshima ile.
Mama yetu SSH nashauri wachaga akija huko mpeni stahiki zote za kichaga;
1. Apewe mbege kwenye 'kibata' na arie bila kujali itikadi yake. ( msimpe kwa kitochi au albam)
2. Apikiwe machalari ya nguvu kwa jogoo (tena na wamama wataalamu)
3. Achezewe mbasa ya nguvu (nae aombwe kushiriki kwa kucheza),
Asanteeee
 
Marehemu yeye alitanguliza watu (wenyeji)wakamtengenezea mazingira.
Lile jani kupewa ilikuwa michongo ishatangulizwa .
Na wake waliomzika maelfu aliwatengeneza marehemu?
 
Iko wazi..script za kubumba zilikua nyingi sana..ila mafala waliamini jamaa anapendwa.
Magufuli alikubalika hadi ulaya na amerika na africa yote kama ingepigwa kula ya maraisi afrika jpm angechukua 90% ushahidi ni kovidi chadema na mbowe wameimiza watu kuchanja ila hata wanachama wa chadema wamegoma kwa mamilioni wanakubal8 njia ya jpm ,samia kaonyesha msisitizo wa yeye mwenyewe kuchanja ila wanaccm wenzake pia wamegoma wanafuata jpm way sasa unataka ushahidi gani
 
Utaendekea kuabudu mizimu kwa maana nawe ni mzimu.
Waafrika waliokufa kishujaa na kizarendo kwa kujitoa sadaka kwa ajili ya watu wanyonge tunawaita " MIZIMU" ila wazungu au waarabu waliokufa kwa ajilinya kutetea watu wanyonge na haki wakina Yesu na Muhammad tunawaita mitume na manabii tena tukiwakumbuka amsemi ni mizimu
 
Alidharaulika sana. Wachaga walimwita majina mabaya ya kila namna. Labda useme aliogopeka kwa ukatili, siyo kukubalika.
Mbona wachaga mnayaishi maneno yake amjaenda kuchanja kumuunga mkono gaidi mbowe maana mbowe alisema mkachanje
 
Hivi kuna MaChifu wanawake?
Naomba nijibiwe hapo na je kama wapo kwenye hilo kabila je wanapewa Heahima sawa Ke na Me?

Tunajua zamani wanawake walikuwa hawana vyeo kwenye jamii
Sasa mama labda analazimisha tu
 
Magufuli alikuwa anaogopwa sana na hao wachagga ndio walikuwa wanamuogopa kupita maelezo. Tuache apumzike lakini nchi hii kupata mtu anayeogopwa na kuheshimika kama yule itachukua karne
Una tujua Wachagga Kwa kusikia au Kwa kutuona wewe?!!..Nani alimuogopa JPM?!!....
 
Huyu hakuna anakokubalika, labda kwao huko ila huku bara hapana
 
Mtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.

Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.
Kwani wachaga ndio kina nani HAPA mpaka wamkubari
 
Mbona wachaga mnayaishi maneno yake amjaenda kuchanja kumuunga mkono gaidi mbowe maana mbowe alisema mkachanje
Mbowe ameleta chanjo akiwa gerezani ukonga. Nchi inachezewa kwa uzezeta wa watanzania.
 
Mtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.

Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.
Alie mshauri wamkamate Mbowe kachemka
 
Back
Top Bottom