Pomoja na Chief Marialle kumpigia chapuo chifu Hangaya Wachaga hawamkubali sana, hawajamkaribisha kwa majani ya isale kama mtangulizi wake


Kwahili la Covid alitisha sana,mana ilikua full kuogopa na kuogopana yan balaa tupu,,mtu akisikia report mpya za wagonjwa kwa Millard pressure juu bora alivyotutoa ule uoga kwakwel dah,zile report kila muda ndio zilizokua zinaogopesha watu mwisho wasiku kinga ya mwili inapungua magonjwa hayo yanakunyemelea hata kama sio Covid unahisi Covid
 
Ccm wajipange tu 2025. Wasi underestimate kabisa huu mwaka. Kuna namna watu wamechoka.
CCM inaweza kuchokwa sawa ila kwa upinzani tulionao ni bora ccm ikaendelea kutawala sio huu upinzani ambao agenda zao haziko wazi kwanchi na kwa wananchi pia. Haiwezekani kuwa na upinzani ambao kazi yao ni kushambulia kila Rais anayetokana na ccm badlala ya kutangaza sera zao wananchi wawachague kutokana na hizo sera.

Kuingia kwa JPM madarakani ndio kulikuja kuumbua upinzani wa Tanzania maana agenda zao zote mwamba alizitekeleza tena kwa kasi ya ajabu badala yake wakaanza kusema amechukua sera zao, kama hiyo haitoshi wakasena ni nguvu ya soda hata Rais Kikwete alianzaga hivyohivyo tena kwa kufanya ziara ya kushtukiza hospitali ya Mt. Meru, hivyo walitegemea angefika mahali akafifia.

Mwamba akaendelea kukaza wakampachika majina ya ajabu mara dictator uchwara mara sijui anaonea watu, kuanzia hapo upinzani ulipoteza muelekeo wakaamia kwenye katiba mpya ambako huko hawawez kupata wafuasi wengi maana wananchi wanataka kiongozi bora ambaye ataweza kusimamia rasilimali zao na kuwapa maisha mazuri na uhuru ili mradi awavunji sheria za nchi.
 
Mtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.

Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.
Magufuli alikuwa na tabia ya kujitekenya na kucheka mwenyewe usitufanye wajinga kwamba hakuna mchaga alikuwa anaemuelewa wake ni watu wake aliwaweka maana alikuwa na tabia ya kusomba watu ili aonekane amejaza watu kwenye mikutano yake.

Kwenda huko. At least hata huyu mama kidogo.
 
Rais afanye kazi yake tu.

Support itakuja automatically.

Rais ahakikishe anasimamia maslahi ya watu wa chini ambao ndio wengi.
 
Magufuli alizuia upinzani acha kutuona wajinga
 
Wachaga achaneni na mambo ya machifu, mizimu na ushirikina mwingine...............haya mambo ndo yamelididimiza hili taifa hadi sasa halieleweki linaenda wapi, mtu anazunguka kufanyiwa mazindiko ya ndumba na kupewa uchifu mkuu halafu utarajie aletee nchi maendeleo.......kwa nje wanatudanganya wana imani ya dini kumbe chenga tu.​
 
Mtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.

Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.
Kila zama na kitabu chake,sisi tupate kumshukuru Rais SSH kwa kutambua kwamba yeye ni mama wa wote na ndiyo maana ameenda kwa watoto wake wanaoishi kilimanjaro

Haya maneno mengine yanayoandikwa ambayo yaikashifu ziara ya rais ni maneno yanayopaswa kupuuzwa na pia inatakiwa ieleweke kwamba maneno hayo yanatoka kwa wale watu ambao walishafanya mazoea kwamba rais ziara zake ni za ukanda mmoja

kwenda moshi haijalishi kwamba hadi rais apokelewe na majani hicho sicho kilichompeleka yeye anao ujumbe na madhumuni yake ambayo kwa vyovyote vile ni mema na kumpokea rais naamini kuwa wana kilimanjaro wamempokea kwa kufurahi sana ndani ya mioyo yao

na ajabu ni kwamba wanaoiponda ziara hii bado hawasemi kwamba ni wapi alipaswa rais kwenda badala ya kilimanjaro? hawasemi na pia hawasemi kwamba kilimanjaro pengine siyo sehemu ya jamhuri ambayo mama ndiye kiongozi mkui.
 
“Moja kati ya adhabu kubwa ya kukataa kushiriki au kujihusisha na Siasa pamoja na Uongozi ni kwamba Utaishia kutawaliwa au Kuongozwa na watu wenye uwezo Mdogo kuliko wewe”-PlatoView attachment 2091245
Tatizo la siasa ukiingia huko ni lazima na ushirikina uujue sana vinginevyo utaishia njiani, ila mwanafalsafa yuko sahihi !!
 
Hakuna lugha ya staha ambayo ninaweza kuitumia zaidi ya hii kumuelezea Rais fisadi ambae anahamasisha ufisadi kwenye Serikali yake bila aibu tena kupitia TV ya Taifa.

Ufisadi ndiyo unajenga?
Naamini hakuwa na maana hiyo unayoifikiria, isipokua ile ilikuwa ni human error tu ! That's what I believe and I will stick to that belief for ever !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…