Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka alipatiwa kahawa na mkurya fulani hiviusisahau kahawa akiwa geita
Magufuli alikubalika hadi ulaya na amerika na africa yote kama ingepigwa kula ya maraisi afrika jpm angechukua 90% ushahidi ni kovidi chadema na mbowe wameimiza watu kuchanja ila hata wanachama wa chadema wamegoma kwa mamilioni wanakubal8 njia ya jpm ,samia kaonyesha msisitizo wa yeye mwenyewe kuchanja ila wanaccm wenzake pia wamegoma wanafuata jpm way sasa unataka ushahidi gani
CCM inaweza kuchokwa sawa ila kwa upinzani tulionao ni bora ccm ikaendelea kutawala sio huu upinzani ambao agenda zao haziko wazi kwanchi na kwa wananchi pia. Haiwezekani kuwa na upinzani ambao kazi yao ni kushambulia kila Rais anayetokana na ccm badlala ya kutangaza sera zao wananchi wawachague kutokana na hizo sera.Ccm wajipange tu 2025. Wasi underestimate kabisa huu mwaka. Kuna namna watu wamechoka.
Umepiga mulemule....huo ndio ukweli 100%Ccm wajipange tu 2025. Wasi underestimate kabisa huu mwaka. Kuna namna watu wamechoka.
Magufuli alikuwa na tabia ya kujitekenya na kucheka mwenyewe usitufanye wajinga kwamba hakuna mchaga alikuwa anaemuelewa wake ni watu wake aliwaweka maana alikuwa na tabia ya kusomba watu ili aonekane amejaza watu kwenye mikutano yake.Mtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.
Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.
Magufuli alizuia upinzani acha kutuona wajingaCCM inaweza kuchokwa sawa ila kwa upinzani tulionao ni bora ccm ikaendelea kutawala sio huu upinzani ambao agenda zao haziko wazi kwanchi na kwa wananchi pia. Haiwezekani kuwa na upinzani ambao kazi yao ni kushambulia kila Rais anayetokana na ccm badlala ya kutangaza sera zao wananchi wawachague kutokana na hizo sera.
Kuingia kwa JPM madarakani ndio kulikuja kuumbua upinzani wa Tanzania maana agenda zao zote mwamba alizitekeleza tena kwa kasi ya ajabu badala yake wakaanza kusema amechukua sera zao, kama hiyo haitoshi wakasena ni nguvu ya soda hata Rais Kikwete alianzaga hivyohivyo tena kwa kufanya ziara ya kushtukiza hospitali ya Mt. Meru, hivyo walitegemea angefika mahali akafifia.
Mwamba akaendelea kukaza wakampachika majina ya ajabu mara dictator uchwara mara sijui anaonea watu, kuanzia hapo upinzani ulipoteza muelekeo wakaamia kwenye katiba mpya ambako huko hawawez kupata wafuasi wengi maana wananchi wanataka kiongozi bora ambaye ataweza kusimamia rasilimali zao na kuwapa maisha mazuri na uhuru ili mradi awavunji sheria za nchi.
Upinzani ulizuiwaje ukiona upinzani umezuiliwa ma ukazulika basi ujue upinzani huo hauna uungwaji mkono kutoka kwa wananchi.Magufuli alizuia upinzani acha kutuona wajinga
Kila zama na kitabu chake,sisi tupate kumshukuru Rais SSH kwa kutambua kwamba yeye ni mama wa wote na ndiyo maana ameenda kwa watoto wake wanaoishi kilimanjaroMtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.
Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.
Weee jamaaa. Wajipangaje sasaCcm wajipange tu 2025. Wasi underestimate kabisa huu mwaka. Kuna namna watu wamechoka.
Ule ni msiba hata wewe ukifariki watahudhuria wasiojulikana kwenye familia yakoNa wake waliomzika maelfu aliwatengeneza marehemu?
Linakudhuru endapo litatolewa na tambiko.pale kwa kuwa lilikuwa la michongo halikuwa na madharaLile jani uwezi pewa kwa mchongo man,ukilitoa kinafki litakidhuru.
Ile ni sikiripsi inatengenezwa mzee lile move hata la nigeria halioni ndaniUmenikumbusha jinsi jamaa alivyo kuwa anajifanya kununua mahindi ya kuchoma kutoka kwa muuza mahindi mwenye binduki mfukoni
Kilicho bumbuluwa dili ni mhusika kuvaa shati fupi kiasi banduki ikaonekanaIle ni sikiripsi inatengenezwa mzee lile move hata la nigeria halioni ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia lugha Kali sana mkuu !! Punguza ukali ukali haujengi mkuu !Mataputapu ni Rais fisadi ambae anahamasisha ufisadi kwenye Serikali yake bila aibu tena kupitia TV ya Taifa🤡🤡🤡👇View attachment 2091218
Tatizo la siasa ukiingia huko ni lazima na ushirikina uujue sana vinginevyo utaishia njiani, ila mwanafalsafa yuko sahihi !!“Moja kati ya adhabu kubwa ya kukataa kushiriki au kujihusisha na Siasa pamoja na Uongozi ni kwamba Utaishia kutawaliwa au Kuongozwa na watu wenye uwezo Mdogo kuliko wewe”-PlatoView attachment 2091245
Naamini hakuwa na maana hiyo unayoifikiria, isipokua ile ilikuwa ni human error tu ! That's what I believe and I will stick to that belief for ever !!Hakuna lugha ya staha ambayo ninaweza kuitumia zaidi ya hii kumuelezea Rais fisadi ambae anahamasisha ufisadi kwenye Serikali yake bila aibu tena kupitia TV ya Taifa.
Ufisadi ndiyo unajenga?
Hadi nyumba nyeupe nayo ipo spidi kukamilisha mwezi wa matambiko.January hii matambiko bado hayajakauka!