Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Ila kwa miaka zaidi ya 1000 wakiristo wametesa sana wayahudi kwa hoja kuwa walishiriki kikamilifu ktk kumuua Yesu.Huwezi kuwatenganisha wakrsto na wayahudi japokua wayahudi sio wakristo ila misingi ya dini ya kikrsto imetokana na dini ya kiyahudi.
Litalaaniwa na mwanaharamu tuISRAEL taifa la HARAMU linatakiwa kulaaniwa kila sehemu
Nakusahiisha kidogo sio wakrsto kwa ujumla.Sema utawala wa warumi na kanisa la roma chini ya baadhi ya mapapa ila haifiki miaka 1000 angalia kalenda zako vizuri.Ila kwa miaka zaidi ya 1000 wakiristo wametesa sana wayahudi kwa hoja kuwa walishiriki kikamilifu ktk kumuua Yesu.
Mkuu Mimi nawajua wakristo hawawezi kuwaita wayahudi maharamia mungu wao YEHOVAH kawakataza.Bali waislamu wanaweza kuwaita wayahudi maharamia sababu mungu wao ALLAH kawaruhusu.Kama wewe ni mkristo soma biblia yako vizuri kuhusu wayahudi MkuuWakristo wote, tunapinga vitendo vya kionevu, mauaji, Hakuna binadamu alie juu ya binadamu mwenzie. Ukiona mkristo anawahusudu hao maharamia jua, ni mkristo tawi la waasi. Yani waprotestanti.
Mimi ni Mkristo na nasema Wayahudi ni maharamia wakubwaMkuu Mimi nawajua wakristo hawawezi kuwaita wayahudi maharamia mungu wao YEHOVAH kawakataza.Bali waislamu wanaweza kuwaita wayahudi maharamia sababu mungu wao ALLAH kawaruhusu.Kama wewe ni mkristo soma biblia yako vizuri kuhusu wayahudi Mkuu
Wewe si mkristo mkuu.Wao wakristo wanaamini kupitia biblia wayahudi ni taifa lililobarikiwa na mungu wao YEHOVA.Lakini ukiwa muislamu nakuelewa kaka sababu mungu wao ALLAH kupitia quran amewalaani wayahudi.Mimi ni Mkristo na nasema Wayahudi ni maharamia wakubwa
Huyo Mungu hafai hata kuombwa maji ya kunywaGod bless Israel...
Nimeisoma vizuri sana na kuelewa, mayahudi ni maharamia tu. Wakristo wote tunafahamu, except wakristo wa michongo, waprotestanti.Mkuu Mimi nawajua wakristo hawawezi kuwaita wayahudi maharamia mungu wao YEHOVAH kawakataza.Bali waislamu wanaweza kuwaita wayahudi maharamia sababu mungu wao ALLAH kawaruhusu.Kama wewe ni mkristo soma biblia yako vizuri kuhusu wayahudi Mkuu
Kwa hiyo hao Mashoga ndio wamebarikiwa?Wewe si mkristo mkuu.Wao wakristo wanaamini kupitia biblia wayahudi ni taifa lililobarikiwa na mungu wao YEHOVA.Lakini ukiwa muislamu nakuelewa kaka sababu mungu wao ALLAH kupitia quran amewalaani wayahudi.
Sidhani mkuu kama wewe ni mkristo na umeisoma hiyo biblia yao.Term unayotumia ya kuwaita wayahudi"MAYAHUDI""ni neno la chuki linalotumiwa kuwataja wayahudi,na wao wakristo hawalitumiagi,bali linatumiwa sana na waislamu.Ukitaka kujua neno hilo baya,ebu jaribu kutamka MAARABU au MAZUNGU au MASWAHILI au MABANTU au MAAFRIKA au MACHINA au MAHINDI na ect......Nadhani umeshanielewa mkuu.Nimeisoma vizuri sana na kuelewa, mayahudi ni maharamia tu. Wakristo wote tunafahamu, except wakristo wa michongo, waprotestanti.
Sijakuelewa mkuu nimeona neno mashoga??????Kwa hiyo hao Mashoga ndio wamebarikiwa?
Mimi siamini tamaduni ya Wayahudi hata kama Mkristo
Huyo ni mungu wa wakristo anaitwa YEHOVA au YAWEH, na anaabudiwa na wakristo.Ni kama vile waislamu wanavyomuabudu mungu wao anaeitwa ALLAH.Wote mpo sahii mkuu kila mmoja kwa mapokeo yakeHuyo Mungu hafai hata kuombwa maji ya kunywa
Hatupishani sana maana hata mimi siamini tamaduni za wayahudi,waarabu,wazungu,wachina na wahindi.Naamini tamaduni za kibantu mkuuKwa hiyo hao Mashoga ndio wamebarikiwa?
Mimi siamini tamaduni ya Wayahudi hata kama Mkristo
Ndiyo Kwa Sababu wapalestina hawajawafanya chochote hao wanaojiita waisrael wakati Ukraine Kwa kushirikiana na NATO wanataka kuhatarisha usalama Wa warusi.Ila russia kuivamia ukraine unaona halali,waafrika bhana kuwa neutral ni mtihani sana kwetu!
Ukishaingiza udini waafrika hawawezi kua neutral.Kila mmoja atavutia kwakeIla russia kuivamia ukraine unaona halali,waafrika bhana kuwa neutral ni mtihani sana kwetu!
Unajua nchi ya kanaani ww ambayo kwa sasa inaitwa PalestineIsraeli ni mmiliki halali wa hilo eneo. Wapiga kelele za kulaani hazisaidii chochote.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
ISRAEL taifa HARAMUHakuna taifa haramu duniani, waliofeli ni wale waliopewa dhamana ya kutunza amani ya dunia, kwa sasa naona kama hakuna taifa la Palestine kwenye ramani ya dunia.
Na hilo ndo ilikuwa lengo kuu, na imetimia tayari bila shida, muhimu waislam na taasisi zao zote duniani ikubaliane na hili na ionyeshe kushirikiana na Israel kwa maslahi mapana ya waarabu wale wabaki na wapewe haki ya kuwa raia wa taifa la Israel ok.
Lakini kuendelea kupambana wakati tayari mmeshamezwa na na tayari mipaka ya nchi iliokuwa yenu haijulikani na haitambuliki tena kimataifa ni kutafuta tatizo lingine.
Why nasema haya, Palestine sio nchi tena hapa duniani bali ni eneo lenye mamlaka ndani ya taifa la Israel, hivyo basi waarabu wale waamue kufuta hiyo eneo lenye mamlaka ili wachukue utaifa wa Israel waijenge Israel yao kwa pamoja.
Katiba iandikwe upya ya Israel baada ya waarabu kuamua kufanya mamuzi magumu itakayo watambua na kulinda haki yao kama raia wa taifa la Israel.
Ila najua wengi watapinga coz ni wafia dini, na wanao nufaika na waarabu wale wa Palestine najua hawawezi kukubali hili coz watakatiwa mirija yao ya ulaji.