Ponda afungwa mwaka mmoja Jela wengine waachiwa huru

Status
Not open for further replies.
Ponda atakuwa zezeta soon hamtamsikia tena mbwembwe zote kwishneyyy

humjui Ponda wewe kwan ndo mara ya Kwanza kufungwa? Nikukumbushe 2001 alipigwa Risasi miguuni akiwa ndani ya meli ya Mv liemba akielekea Burundi na watu wa Usalama wa Taifa wakasingizia ni waasi wa Kongo ndo walomshut wakijaribu kuteka meli wakamkamata wakamleta Dsm wakamfunga zaid ya miezi 9 alipotoka kama wamezima Moto kwa Petrol. Ponda Aluta continua!
 
Umeumia eehh!!
 
Maneno ya kijinga kabisa. Ptuuu!
 
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 0"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Shekhe Issa Ponda akisindikizwa na askari magereza kuingia mahakama ya Kisutu Dar es Salaam May 9 kabla kupewa hukumu ya mwaka mmoja nje. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 0, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Shekhe Issa Ponda akiongea na mmoja wa mawakili wake, Ubaidi Hamidu akiwa na watuhumiwa wenzake wakisubiri hukumu katika Mahakama ya kisutu Dar es Salaam May 9 2013.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, width: 0, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Shekhe Issa Ponda akiwa na baadhi watuhumiwa wenzake wakisubiri hukumu katika Mahakama ya Kisutu Dar es Salaam May 9 2013
Read more and photos RobertOkanda blog
😛anda:[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
afadhali kidogo sasa hivi badala ya kaburi la ccm kukamilika wamelifanya kuwa nusu
 
Huu ndio unafiki wa mahakama zetu!
 
Muda si mrefu Mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu imemhukumu shehe Ponda kifungo cha Miezi kumi na miwili na wenzake wameachiwa huru.


Hapa kuna walakini na usalama wa wahusika, kwanini wasingesubiri makovu ya Arusha yakauke miongoni mwa wakristu dio hukumu ikatoka? hali kama hii itazidisha maswali miongoni mwetu juu ya juhudi za serikali kuzika mitafaruku ya kidini. siungi hoja mkono kamwe!
 
Allah Akbar......Victory belongs to those who fight on his way..Sh Ponda may Allah SW gives u power 2continour fighting 4 his way never get fear 2 infedors..,,we r here 2suport u
 
[TABLE="class: cms_table_tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_tr-caption, align: center"]Shekhe Issa Ponda akisindikizwa na askari magereza kuingia mahakama ya Kisutu Dar es Salaam May 9 kabla kupewa hukumu ya mwaka mmoja nje. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: cms_table_tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_tr-caption, align: center"]Shekhe Issa Ponda akiongea na mmoja wa mawakili wake, Ubaidi Hamidu akiwa na watuhumiwa wenzake wakisubiri hukumu katika Mahakama ya kisutu Dar es Salaam May 9 2013.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: cms_table_tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_tr-caption"]Shekhe Issa Ponda akiwa na baadhi watuhumiwa wenzake wakisubiri hukumu katika Mahakama ya Kisutu Dar es Salaam May 9 2013[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Read more and photos RobertOkanda blog😛anda:
 
MODS badilisha kichwa cha habari huu ni upotoshaji, Ponda amefungwa kifungo cha nje cha mwaka mmoja,... aisee hii forum mpaka inaboa kwa kuendekeza udini, kama ulikuwa unaishi vizuri na wakirisito au waislam, na ukaingia humu Jamii forums basi ni dhahiri muelekeo wako wa maisha utabadilika, ni jukwaa linaloongoza uchochezi wa kidni na hasa wakirisito wanapenda sana kubeza , kudhihaki na kila aina ya istihzai kuwafanyia waislamu na MODS wapo upande wao, sishangai kwa sababu wote ni wa dini moja, so inaelekea wanafurahia sana wakiona jambo la kushambulia uislamu, kukiwa na uzi wa kuukandia waislamu wanauacha watukanwe na ukiwa wa kwao wakirisito wenzao wanauacha, basi nadhani imefika wakati sasa hivi mods msemekuu hii ni Protestants zone!
 
Nilijua kesi nzima kilikuwa kitendawili tu, hakukuwa na ubavu wa kumfanya lolote Ponda. Ndani ya mwaka subirini alipue zogo lingine. Kumfunga Ponda Jela serikali inajua ingekiona cha moto kuelekea 2015. Wataendelea kutesa tu na madudu yao. Nina wasiwasi hata na hao walipua mabomu hata wakitiwa hatiani watafanywa nini, maana waarabu ndo mashemeji.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…