Ponda afungwa mwaka mmoja Jela wengine waachiwa huru

Ponda afungwa mwaka mmoja Jela wengine waachiwa huru

Status
Not open for further replies.
Mimi wala sishangai, hiyo ni zaidi y mtegemeo yangu. Mimi nilishajua ataachiwa huru, tena bila hata kifungo cha nje. Kadhi dharimu hutoa haki kwa bahati (Unjust judge will hardly provide justice). Kazi bado tunayo, safari bado ni ndefuu.
Kafumu naye karudishiwa ubunge, Kashinde si mbunge tena, hahahahahahaaaa
 
mkomatembo i suport u % dis 4rum is full occupied of Muslim Haters (Chuki zao dhidi ya Uislam ni kubwa kuliko waliyoyaficha ndani ya vifua vyao),,wether dey like or not bt Islam will stand strong all over da world n guides da Universe
 
Last edited by a moderator:
Ha haa! maoni mengi humu yamenifurahisha,ila cha msingi ni ponda kuwa mpole maana hivi sasa serikali ina hasira na issue za ugaidi,akileta tena kelele watamkamata na atapotea moja kwa moja.

hicho kifungo cha nje alichopewa ni kibaya sana ila wanashindwa kuelewa tu! Am sure hilo linaweza likawa tego!Kwani kwa mwaka huo wa kifungo anatakiwa àwe mtulivu sana!
vinginevyo inakula kwake hivi hivi!
ila adhabu ni lazima atumikie, kudeki,kufyeka nyasi,kufyagia ofice za serikali
 
watu wengine inakuwa inawauma sana kuachiwa huyu bwana....
 
Wakuu,

Tuliifungia RADIO IMAAN bila kosa na tukabalance na kuifungia KWA NEEMA FM

Tumemuachia GAIDI LWAKATARE na kubalance hali ya hewa ya Amani ya nchi kwa kumuachia SHEIKH PONDA wao....!

Sasa tunaanza mwanzo mpyaaa....
 
Mashariti ya kifungo cha nje ni kama ifuatavyo

a) kwanza atatakiwa kuripoti kila siku asubuhi saa kumi na mbili, mahakamani ambako atapangiwa shughuri za kijamii kama kufagia, kulimia bustani za mahakama au kufanya usafi kwenye mahospitali, watakuwa wanamuachia saa nne asubuhi.

b) hatotakiwa kujihusisha na jambo lolote la uvunjifu wa sheria, akithubutu tu kifungo kinabadilika nakuwa cha ndani, kwahiyo yale mambo yakuongoza maandamano yasiyo na kibari ndiyo asahau tena,

b)atatakiwa kuonyesha kwamba tabia yake inabadirika na kuwa raia mwema
 
KWa hiyo unataka kutuambia hata RWakatare jana aliachiwa kwa Rushwa? Kesi za kina Lema pia huwa wanapokea Rushwa ? hivi hii nchi inakwenda wapi? Rwakatare amekamatwa na CD zipo mmebadili na kusema ni software, ila kina Ponda wanastahili chuki ya udnini itawamaliza nyie na wakuu wenu, nimeshangaa sana jana kuona Pengo akitoa siri kuwa dharuba ile ya Arusha sio ya kidini lakini anatafuna maneno , kwanini asiseme ukweli anaojua? nimrule out kuwa anapenda chuki za kidini ziendelee, simply angetoa huo ukweli aloambiwa na mtu alompigia simu lakini akaishia tu kusema si shambulio la kidini hii nchi tunapokwenda sipo kabisa ! nadhani wachocezi wakubwa ni hawa hawa viongozi wa kidini !
Mimi nimetoa situation ya rushwa kwenye nchi yetu, kuwa mahakama nazo zipo kwenye top list. Hayo maelezo mengine mimi sihusiki!kama unataka details fanya uchunguzi mwenyewe
 
Pole sana kiongozi wetu,mwenyezi mungu yupo nawe kila kona mwa dunia hii,ila naomba wasimzuru tu,
 
hicho kifungo cha nje alichopewa ni kibaya sana ila wanashindwa kuelewa tu! Am sure hilo linaweza likawa tego!Kwani kwa mwaka huo wa kifungo anatakiwa àwe mtulivu sana!
vinginevyo inakula kwake hivi hivi!
ila adhabu ni lazima atumikie, kudeki,kufyeka nyasi,kufyagia ofice za serikali

Akipewa ED bado atakwenda kufanya kazi za jamii wakati Daktari amesema apumzike?
 
Toka tarehe 05 mi mwenzenu nimesahau hata jina la nchi yangu. Sijielewi sijui nipo Somalia au....[/pole sana unapaswa kurejea katika hali yako ya kawaida ili Utambue kabisa kuwa upo wapi kwa sasa na nchi yako ni ipi kati ya Somaria na Tanzania kwa maana Tanzania bado ipo moja na Somaria nayo ni moja.]
 
Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam, imemfunga kifungo cha nje cha mwaka mmoja katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda, huku washtakiwa wengine wote 49 wakiachiwa huru

..mlitegemea mahakama itoe hukumu ya aina gani? sishangai

ALLAH AKBAR,ALLAH AKBAR,ALLAH AKBAR najua kabisa PONDA hakua na hatia ila mahakama imeona noma kumuachia bila masharti,wacome wenyewe makanisa yao 2fungwe ss? wajipige wenyewe mabomu kama alivyofanya JAMES tufungwe ss? hahahaaaa
 
leo makahaka kuu ya kisutu imemuachia shekh issa ponda

kwa madai yake ya msingi kuhusiana na kiwanja cha waislamu chang'ombe kuuzwa na taasisi ya bakwata(ccm b),alifunguliwa mashtaka ya uchochezi, wizi, kuvamia eneo la watu, na kutokana na mashtaka hayo alinyimwa dhamana kwa kipindi chote hiki, leo kaachiwa, suali langu kwa wanasheria humu,
je, kuachiwa kwake kunamaanisha madai yake kwa kiwanja cha chang'ombe ni sahihi?
Km ni hivyo,je waislamu wanaweza kufungua mashtaka ya kudai kiwanja chao kutoka kwa bakwata(taasisi ambayo ccm na serikaliyake wanaitumia kisiasa zaidi kuliko dinni,na kufanywa wanaharakati waonekane wakorofi kwa kuipinga bawkata).
Je. Ponda naeza kuifungilia mashtaka serikali kwa kumuweka ndani pasina kosa?


wewe unakurupuka soma mada vİzuri kabla hujachangia,ponda kahukumiwa kifungo cha nnje mwaka mmoja,nasiyo kwamba kahachiwa huru.
 
Heri wamemwachia,lakini cha kujiuliza kulikuwa na hatari gani ya ponda kupewa dhamana mpaka akae mahabusu mda wote huu.
 
Mashariti ya kifungo cha nje ni kama ifuatavyo

a) kwanza atatakiwa kuripoti kila siku asubuhi saa kumi na mbili, mahakamani ambako atapangiwa shughuri za kijamii kama kufagia, kulimia bustani za mahakama au kufanya usafi kwenye mahospitali, watakuwa wanamuachia saa nne asubuhi.

b) hatotakiwa kujihusisha na jambo lolote la uvunjifu wa sheria, akithubutu tu kifungo kinabadilika nakuwa cha ndani, kwahiyo yale mambo yakuongoza maandamano yasiyo na kibari ndiyo asahau tena,

b)atatakiwa kuonyesha kwamba tabia yake inabadirika na kuwa raia mwema

Tumejipanga kimkakati zaidi kumsaidia Amir wetu juu ya kadhia ya kifungo hicho kwani tulianza kwa Duah na matunda yake tumeyaona...

Akitoka msikitini asubuhi anakwenda moja kwa moja Mahakamani kwa Bodaboda tuliyomnunulia na baada ya kuripoti tutamsaidia hata zile kazi zake za kijamii na tukimaliza tutaondoka naye kurudi home !

Kwa hapo mmetukosa labda mseme lingine.....
 
mkomatembo i suport u % dis 4rum is full occupied of muslim haters (chuki zao dhidi ya uislam ni kubwa kuliko waliyoyaficha ndani ya vifua vyao),,wether dey like or not bt islam will stand strong all over da world n guides da universe

uhuru wa kuongea..
 
VITA...... WAPAGANI NA WAISLAM......... sie watazamaji...
 
ni wakati wa ponda kuangalia nyendo zake za maisha na kuanza mfumo mpya wa maisha yake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom