Ponda afungwa mwaka mmoja Jela wengine waachiwa huru

Status
Not open for further replies.
allah akbar, karibu tuendeleze harakati za kufanya "islam to dominate the world" in shaa allah.
 
ngoma ingekua ngumu kama jamaa angeenda jela wakati jana kuna mtu kafutia mashitaka kiulani sana.nakumbuka enzi za mkapa au mwinyi sikumbuki yupi.huyo ponda alifungwa jela.alipotoka alitulia kidogo kisha akaanza tena.

Kwahiyo hata sasa yawezekana.serikali ilitizame suala la hicho kiwanja ili haki itendeka.ijulikane kama ni cha manji kihalali au ni magumashi.
 

Sawasawa.
 
Wakuu,

Tuliifungia RADIO IMAAN bila kosa na tukabalance na kuifungia KWA NEEMA FM

Tumemuachia GAIDI LWAKATARE na kubalance hali ya hewa ya Amani ya nchi kwa kumuachia SHEIKH PONDA wao....!

Sasa tunaanza mwanzo mpyaaa....

hayo ni mawazo yako utabaki na huo mgando wako wa mawazo sisi twasonga mbele
 
Waislam, mali za waislam, jamani hizi kauli hizi? Ponda anaweza kudai au kuhoji uhalali wa hicho kiwanja kwa njia sahihi si lazima kila mtu aache shughuli zake na kuongozana nae, halafu jamani, maisha ni magumu watu tunakimbiza tusisahau jinsi tulivyopakimbia mjini kila ijumaa kipindi kile na kuacha shughuli zetu, by the way haki ya kweli si kwenye mali ziozazo za dunia hii, haki ya kweli iko mbinguni. Nyi mnaandamana wenzenu wako kazini, shauri lenu|!
 
Sina mengi ya kuandika ila namshukuru mungu kwa kumsimamia ndugu yetu Ponda kutoka jela sehemu dhalili sana ila naamini itakuja geuka kuwa shahidi mbele ya juji asiedhulumu wala kufanya uonevu. Nawaomba waislamu tujifunze kudai haki zetu kiutaratibu kwa mujibu ya dini yetu inavyotufundisha.
Allah ambariki na Amlipe kila la kheri.
 
allah akbar, karibu tuendeleze harakati za kufanya "islam to dominate the world" in shaa allah.
tatizo ni kwamba kila dini,iwe jewish,christian,islam inatafuta kudominate the world.na katika hizo tatu utakuta jew wanawatumia christian kufikia agenda.christian wanawakandamiza muslim kufikia agenda.muslim wanapigana all the way through kufikia agenda.
 
Si bure kunakitu,au yale mabomu ya arusha yalikuwa na ujumbe!kifungo cha nje ndio nini,hv tunaenda wapi?kifuatacho mmmmh!
 
kifungo cha nje ndio nini?

Kwa nchi zetu kifungo cha nje mtu anaonekana kama kapendelewa lakini kwa wenzetu ambako kuna data base kufungwa ni kufungwa maana kuna haki zako zingine unaweza kuzikosa kutokana record yako mfano hata hapa nchini kuna sehemu unaweza kwenda ukaambiwa usiwe na record ya uhalifu. Hata huo msukosuko alioupata ni adhabu tosha kwa kukaa rumande muda wote huo maana lengo la kuanzisha jela ni kukutenganisha na raia wema wenzako ambao umezoeana nao kwa muda mrefu ili uweze kujirekebisha maana ukikaa mbali na washikaji zako tu psychologically unakuwa haupo vizuri, the same kama alivyokaa rumande muda mrefu
 
Mahakama ya Hakimu mkazi ya Kisutu leo imemfunga kifungo cha nje kwa mwaka mmoja Katibu wa jumuiya na taasisi za kiislam Sheikh Ponda Issa Ponda na Sheikh Mkadam na kuwaachia huru wengine 49 waliokuwa wameunganishwa kwenye kesi hiyo. kwa kipindi cha miezi 6 sheikh Ponda na Mukadam hawatatakiwa kujihusisha na kosa lolote la jinai maana yake kifungo kilichobaki kitawekwa kwenye kifungo halisi cha gerezani.
Umati mkubwa wa watu walikuwepo hapo kuhudhuria kesi hiyo .Sheikh Ponda ni mpiganiaji mkubwa wa haki na mali za kiislam na waislam ambazo zimekuwa zikiliwa na kutumiwa hovyo na bakwata. Kesi iliyokuwa ikimkabili sheikh Ponda ni ya kuvamia kiwanja cha markaz chang'ombe ambacho bakwata walipewa kwa ajili ya kujenga chuo kikuu lakini wakakimega kutoka hekari 27 hadi kubaki hekari 4 ambao zilitakiwa kujenga hospitali ya rufaa nacho wakakiuza hapo ndio ugomvi ulipo anzia. Katika utetezi wao bakwata walisema wamebadilishana na kiwanja cha hekari 40 cha kisarawe wakaulizwa wanajua thamani ya heka 4 za chang'ombe dar na 40 za kisarawe wakasema hawajui. sasa sijui walibadilishana vipi bila kujua thamani yake.
Shule zao zimekuwa zikifelisha wamekuwa wakiweka viongozi wasio na elimu mfano mdogo ni juzi tu kanisa limepigwa bomu Pengo anasema hawezi kutoa tamko mpaka apate habari kamili na maelezo ya kutosha wao wameshatoa tamko zamaani sana.
Ni viongozi wasio jielewa kabisa.
Waislam wame ahidi kupambana mpaka kulitoa hili dubwana bakwata lililowekwa kwa ajili ya kuwakandamiza waislam.
Aluta continua.


Takbiiiir Allah akbarr!
 
kutokana na kesi yake alivyofanywa kubwa hatukutegemea kifungo cha nje,mpaka magazeti ya wenye chuki,km mtanzania walisema ana ushirikiano na AL shabab,ila ukweli umeonekana,
 
Si bure kunakitu,au yale mabomu ya arusha yalikuwa na ujumbe!kifungo cha nje ndio nini,hv tunaenda wapi?kifuatacho mmmmh!

mabom ya arusha hayahusiani na dini zetu na wala hatujafikia stage hiyo. msikuze mambo jamani
 
Nilishasema toka mwanzo kodi yetu inatumika vibaya kucheza picha hii ya kijinga ya Wahhabi Satanists na sirikali ya Sultan Mangungu. Yetu macho/
 
kwa kweli Ponda ni mwana haki wa kikweli hata kama angefungwa miaka mia lakin bado angekuwa ni mwanaharakati wa waislam ndo maana mahakama imaeamua kuchukua kifungo kama hiki cha style yake kwa heshima ya mzee Ponda.......
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…