Elimu y crashwise ni ndogo kwa sababu ana hoji uhalala wa Ponda kunyimwa mdhamana....Mkuu bado tatizo ni lilelile kwa hawa jamaa ELIMU,hapo mwenzio kawaza na kufikiri mpaka mwisho akaona mfano mzuri wa kulinganisha hapo ni mashabiki wa yanga kuwa mvumilivu kwa kuangalia elimu yake we mtie moyo tu kwamba umemwelewa kwani hata ikikasirika hawezi fikiri zaidi ya hopo usitarajie hekima kwa mpuuzi kumbuka NI DHIHAKA KUMWOMBA CHURA KITI ILHALI YEYE ANACHUCHUMAA, hebu mvumilie tu.
tehe hehe tehe join date aiseJaman hakuna haja ya kutumia nguvu nying kusambaratisha maandamano ya waislam Criminal Procedure Act inaelekeza makosa gani mtu hapewi thamana.pia mazingira ambayo mtu hapewi thamana. Ila kama kuna mazingira ambayo ponda hapewi thaman nafikiri uhuru kenyatta anayetuhumiwa kuua mamia ya watu asingekuwa kwenye kampen. Mpen Ponda bail akatunze familia yake.
Kweli nchi hii inakoenda siko. Suaka la ponda lhtaleta madhara. Kama ni gaid apelekwe ICC.sio kisutu. Achen hizo ndo hapo mnaleta udin jaman.
Lulu kauwa bila kukusudia kapewa dhamana, shehe Ponda kafanya nini kikubwa kisichstahili dhamana, dhamana ni haki ya kila mtu, apewe haki yakr
Lulu kauwa bila kukusudia kapewa dhamana, shehe Ponda kafanya nini kikubwa kisichstahili dhamana, dhamana ni haki ya kila mtu, apewe haki yakr
Mkuu hujui kwamba kuna GUANTANAMO ya Tanzania iko pale karibu na CHUMBE???Du, GUANTANAMO tena!