Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
hapo ndipo kwenye udhaifu wa hii serikali ya dhaifu yaani mtu anafanya makosa wanamwangalia tu siku akiiba simu ndiyo unamjumlishia na makosa mengine lazima watu tujiulize kosa la kuiba simu halina mdhamna....Kuna yule jamaa anayesema watu flani wachinjwe alitakiwa apelekwe huko haraka. anawezaje kuhamasisha watu
wachinje wengine kirahisi namna ile tena kupitia mihadhara, cd nk. Mtembezi ana cheka tu eti anakemea, anatakiwa
kuchukuwa hatua vinginevo makubwa yanakuja na atapata aibu kubwa hata huo mkakati wa ndoto ya ukatibu mkuu
UN...maana akili za mtembezi kuruka ruka analenga kuaaffect intenational relation, akilenga madaraka... - ni upuuzi tu!
Serikali imemchekea sasa tunaona mavuno mchungaji kachinjwa. Hawa watu wanatishia utanzania wetu si wa kuchekea
kabisa wao kwao ni huko mahabusu wasiruhusiwe kuja mitaani kunajisi amani yetu.