PONDA apewe dhamana

PONDA apewe dhamana

Status
Not open for further replies.
Kuna yule jamaa anayesema watu flani wachinjwe alitakiwa apelekwe huko haraka. anawezaje kuhamasisha watu

wachinje wengine kirahisi namna ile tena kupitia mihadhara, cd nk. Mtembezi ana cheka tu eti anakemea, anatakiwa

kuchukuwa hatua vinginevo makubwa yanakuja na atapata aibu kubwa hata huo mkakati wa ndoto ya ukatibu mkuu

UN...maana akili za mtembezi kuruka ruka analenga kuaaffect intenational relation, akilenga madaraka... - ni upuuzi tu!

Serikali imemchekea sasa tunaona mavuno mchungaji kachinjwa. Hawa watu wanatishia utanzania wetu si wa kuchekea

kabisa wao kwao ni huko mahabusu wasiruhusiwe kuja mitaani kunajisi amani yetu.
hapo ndipo kwenye udhaifu wa hii serikali ya dhaifu yaani mtu anafanya makosa wanamwangalia tu siku akiiba simu ndiyo unamjumlishia na makosa mengine lazima watu tujiulize kosa la kuiba simu halina mdhamna....
 
Lulu kauwa bila kukusudia kapewa dhamana, shehe Ponda kafanya nini kikubwa kisichstahili dhamana, dhamana ni haki ya kila mtu, apewe haki yakr
Ngoja nipayuke mkuu na kusema ukweli ambao wengi wanaujua lakini wanauma uma maneno.Lulu si mtu wa hatari katika jamii hata kidogo! anayebisha na kudhani lulu ni mtu wa hatari kwa usalama wa taifa hili anyooshe kidole.mbona sioni vidole? Ponda ni mtu hatari kwa usalama wa nchi hii.Nitatoa mfano kidogo.Kwanza ni nani ambaye amekuwa akifuatilia harakati na hotuba za ponda alizokuwa anazitoa walau kwa miaka miwili mfululizo? kwa wale ambao hawakumfuatilia niwape scenerio moja maarufu.Mwaka jana Ponda na wafuasi wake waliambiwa wasiandamane;Ponda akaongoza maandamano kuelekea Kidongo chekundu.Polisi wakaamua wayasindikize maandamano japo waliyakataza; wakayasindikiza hadi uwanjani.Ponda alicho kisema uwanjani ni kwauliza waislam walioandamana naye "Walisema tusiandamane ;tumeandamana hatujaandamana! wafuasi; tumeandamanaaaaa! Wametufanya kitu hawajatufanya? wafuasi;Hawajatufanyaaaaaa! Ponda akapigilia msumari wa mwisho kwenye nchi hii tutafanya chochote tukiamua na hakuna wakutuzuia" Kitendawili; nani asiyejua kwa nini ponda hakupewa dhamana?
 
Mfano mfu huo mazee..! Madhara ya Ponda kuwa nje ni makubwa kuliko tunavyofikiria. Alitumika sana yeye na shekhe mmoja anaitwa Kudecha kupiga kampeni za CCM baadaye wakawa hakuna wa kuwagusa angalia shida tunayoivaa ya udini, tuanze sasa kushughulika na hawa magugu kwenye ngano kama Ponda.
Ponda si gugu, Gugu ni Kikwete na ccm yake, choko choko zilianzia zanziba na zilianzisha na kikundi kilicho asi baada ya kuahidia ajira na baada ya uchanguzi wa mwaka 2010 baada ya uchaguzi wakawatosa kikaasi, ndicho kilichokuwa kinachoma makanisa na maofisi CCM wanalijua hili lakini watasingizia vikundi vingine kuficha uhuni wao...
 
Kwa kosa lipi sasa, tumeona vikundi mbalimbali vikipigania haki zao wanazo amini zimeporwa ni kama alivyo kuwa anafanya ponda kama ni uharifu mbona hata wanachama wa yanga mara ngapi wamekuwa wakivamia nyumbani kwa viongozi wao na kutishia kuua mbona sijaona kukamatwa kwani inatofauti gani na lichokuwa anakifanya ponda...

Mafano wa Kipuuzi huo! Mashabiki wa Yanga lini wameuwa kama walivyofanya wachinjaji huko Geita? Lini Mashabiki wa mabingwa wa Kagame wamevamia na kuvunja na kuharibu mali za watu? Kumbuka hamasa za Ponda kule Mbagala na kilichotokea makanisani. Ponda hana stahili kuishi kwenye jamii ya wastaarabu
 
Ngoja nipayuke mkuu na kusema ukweli ambao wengi wanaujua lakini wanauma uma maneno.Lulu si mtu wa hatari katika jamii hata kidogo! anayebisha na kudhani lulu ni mtu wa hatari kwa usalama wa taifa hili anyooshe kidole.mbona sioni vidole? Ponda ni mtu hatari kwa usalama wa nchi hii.Nitatoa mfano kidogo.Kwanza ni nani ambaye amekuwa akifuatilia harakati na hotuba za ponda alizokuwa anazitoa walau kwa miaka miwili mfululizo? kwa wale ambao hawakumfuatilia niwape scenerio moja maarufu.Mwaka jana Ponda na wafuasi wake waliambiwa wasiandamane;Ponda akaongoza maandamano kuelekea Kidongo chekundu.Polisi wakaamua wayasindikize maandamano japo waliyakataza; wakayasindikiza hadi uwanjani.Ponda alicho kisema uwanjani ni kwauliza waislam walioandamana naye "Walisema tusiandamane ;tumeandamana hatujaandamana! wafuasi; tumeandamanaaaaa! Wametufanya kitu hawajatufanya? wafuasi;Hawajatufanyaaaaaa! Ponda akapigilia msumari wa mwisho kwenye nchi hii tutafanya chochote tukiamua na hakuna wakutuzuia" Kitendawili; nani asiyejua kwa nini ponda hakupewa dhamana?
Kwani kuandamana si ni haki ya kila mtu? unajua alikamatwa kwa kosa gani? je hana haki ya kupata mdhamana...Juzi feleshi anasema ni pamoja na usalama wa Ponda ndiyo maana hawataki kumwachia kweli, hivi ponda watu wana hasira nae sana kuliko alie mteka Dr. Ulimboka, hivi Ponda wanachi wana mchukia kuliko Kikwete, Lowasa, Rostam, Chenge...mbona hawaja wakamata...
 
Jaman hakuna haja ya kutumia nguvu nying kusambaratisha maandamano ya waislam Criminal Procedure Act inaelekeza makosa gani mtu hapewi thamana.pia mazingira ambayo mtu hapewi thamana. Ila kama kuna mazingira ambayo ponda hapewi thaman nafikiri uhuru kenyatta anayetuhumiwa kuua mamia ya watu asingekuwa kwenye kampen. Mpen Ponda bail akatunze familia yake.

Mkuu
Ya uhuru kenyata ni ya uhuru kenyata

Unamkumbuka bwana Ditopile ukiwaona Mzuzuri? Aliuwa hadharani, jamaa akaachiwa kimtindo tu unasemaje kuhusu hilo......

Mambo ya Lulu ni ya Lulu

Lakini mbona Babu seya na ukoo wake wamefungwa maisha? si utuambie walikuwa wanabaka wote? Ona sasa siku hizi wapenzi wao na familia zinawamisi sana (hata mvua ikinyesha hawatoki tena na seya maana seya anatoka na wenye nguvu) unalijadili vipi hili?

Mtu yeyote anayehatarisha amani ya Tanzania tena anaetishia maisha ya mamilioni ya watu kama vile shehe Ilunga anapaswa kudhibitiwa kwa nguvu zote hata kama ni kukodisha majeshi hatufanyi majaribio ya kuhifaadhi amani na umoja wetu kama watanzani wewe unayataka mauwaji ya kidini?

Tena wanabahati Mtembezi ni Dhaifu angekuwa mzee rukusa naamini tungeishi shwali kabisa babu alikuwa hacheki na nyani.
 
Mafano wa Kipuuzi huo! Mashabiki wa Yanga lini wameuwa kama walivyofanya wachinjaji huko Geita? Lini Mashabiki wa mabingwa wa Kagame wamevamia na kuvunja na kuharibu mali za watu? Kumbuka hamasa za Ponda kule Mbagala na kilichotokea makanisani. Ponda hana stahili kuishi kwenye jamii ya wastaarabu
Pole sana hujui hata alie sababisha mauwaji huko Geita...kamuulize Nchimbi
 
Nilikuwa naongea za jamaa mmoja wa usalama akaaza kujitapa kuwa mwisho wake umefika kwani wamesha mfatilia kuwa si mtanzania bali ni mnyarwanda aliingia nchi akiwa mdogo akaishi huko kigoma nikajiuliza kwanini nchi hii ukiwa kinyume na watu walioko kwenye system lazima uambiwe wewe siyo mtanzania..lakini kwa kuwa nilikuwa nataka kujua mengi kutoka kwa huyo ---- wa usalama nilibaki kumsikiliza tu...

ponda hatoboi kabisa DPP ameshaliza kazi, huwezi mtendea haki mvunja haki hata kwa fitina wampoteze tu.
 
Ngoja nipayuke mkuu na kusema ukweli ambao wengi wanaujua lakini wanauma uma maneno.Lulu si mtu wa hatari katika jamii hata kidogo! anayebisha na kudhani lulu ni mtu wa hatari kwa usalama wa taifa hili anyooshe kidole.mbona sioni vidole? Ponda ni mtu hatari kwa usalama wa nchi hii.Nitatoa mfano kidogo.Kwanza ni nani ambaye amekuwa akifuatilia harakati na hotuba za ponda alizokuwa anazitoa walau kwa miaka miwili mfululizo? kwa wale ambao hawakumfuatilia niwape scenerio moja maarufu.Mwaka jana Ponda na wafuasi wake waliambiwa wasiandamane;Ponda akaongoza maandamano kuelekea Kidongo chekundu.Polisi wakaamua wayasindikize maandamano japo waliyakataza; wakayasindikiza hadi uwanjani.Ponda alicho kisema uwanjani ni kwauliza waislam walioandamana naye "Walisema tusiandamane ;tumeandamana hatujaandamana! wafuasi; tumeandamanaaaaa! Wametufanya kitu hawajatufanya? wafuasi;Hawajatufanyaaaaaa! Ponda akapigilia msumari wa mwisho kwenye nchi hii tutafanya chochote tukiamua na hakuna wakutuzuia" Kitendawili; nani asiyejua kwa nini ponda hakupewa dhamana?

Msema kweli mpezi wa mungu.
 
kauli ya kummaliza niliisikia kwa wanausalama huyo akisema kuna pori kule Dodoma watampeleka ambako ndiko kuna gereza la watu hatari nchini...
ponda hatoboi kabisa DPP ameshaliza kazi, huwezi mtendea haki mvunja haki hata kwa fitina wampoteze tu.
 
Kwani kuandamana si ni haki ya kila mtu? unajua alikamatwa kwa kosa gani? je hana haki ya kupata mdhamana...Juzi feleshi anasema ni pamoja na usalama wa Ponda ndiyo maana hawataki kumwachia kweli, hivi ponda watu wana hasira nae sana kuliko alie mteka Dr. Ulimboka, hivi Ponda wanachi wana mchukia kuliko Kikwete, Lowasa, Rostam, Chenge...mbona hawaja wakamata...
karibuni watamkamata kikwete.subiri tu utaona.
 
Kwani kuandamana si ni haki ya kila mtu? unajua alikamatwa kwa kosa gani? je hana haki ya kupata mdhamana...Juzi feleshi anasema ni pamoja na usalama wa Ponda ndiyo maana hawataki kumwachia kweli, hivi ponda watu wana hasira nae sana kuliko alie mteka Dr. Ulimboka, hivi Ponda wanachi wana mchukia kuliko Kikwete, Lowasa, Rostam, Chenge...mbona hawaja wakamata...
Crashwise naona bado unahang over za valentine. Ponda apumzike zake selo maisha yaendelee ...nakusihi usiandamane polisi wamejipanga liwalo na liwe
 
Last edited by a moderator:
Mafano wa Kipuuzi huo! Mashabiki wa Yanga lini wameuwa kama walivyofanya wachinjaji huko Geita? Lini Mashabiki wa mabingwa wa Kagame wamevamia na kuvunja na kuharibu mali za watu? Kumbuka hamasa za Ponda kule Mbagala na kilichotokea makanisani. Ponda hana stahili kuishi kwenye jamii ya wastaarabu

Mkuu bado tatizo ni lilelile kwa hawa jamaa ELIMU,hapo mwenzio kawaza na kufikiri mpaka mwisho akaona mfano mzuri wa kulinganisha hapo ni mashabiki wa yanga kuwa mvumilivu kwa kuangalia elimu yake we mtie moyo tu kwamba umemwelewa kwani hata ikikasirika hawezi fikiri zaidi ya hopo usitarajie hekima kwa mpuuzi kumbuka NI DHIHAKA KUMWOMBA CHURA KITI ILHALI YEYE ANACHUCHUMAA, hebu mvumilie tu.
 
kauli ya kummaliza niliisikia kwa wanausalama huyo akisema kuna pori kule Dodoma watampeleka ambako ndiko kuna gereza la watu hatari nchini...

We tulia fuatilia mziki utavyokua c wamewasha moto vijana watauzima kwa kutumia petrol mm cna uhakika kama utazima kama wanavotarajia.
 
DPP kaza buti.ponda ni tishio kwa ustawi wa tanzania.Tanzania sio Somalia watambue hvyo.funga miaka mia.
 
Nilikuwa naongea za jamaa mmoja wa usalama akaaza kujitapa kuwa mwisho wake umefika kwani wamesha mfatilia kuwa si mtanzania bali ni mnyarwanda aliingia nchi akiwa mdogo akaishi huko kigoma nikajiuliza kwanini nchi hii ukiwa kinyume na watu walioko kwenye system lazima uambiwe wewe siyo mtanzania..lakini kwa kuwa nilikuwa nataka kujua mengi kutoka kwa huyo ---- wa usalama nilibaki kumsikiliza tu...

Ponda laiti angejua asingeingia choo cha kike , anasubiriwa na vijana ataimba pambio bila kupenda c alipandikiza chuki dhidi ya ukristo akaacha kuheshimu akawaita wengine makafiri adhabu nzuri kwake ni kufundishwa huo ukafiri,atapaswa kuimba tenzi za rohoni zisizopungua 90 kutwa ili angalau apate ugali wa pumba usioiva pamoja na pilipili kichaa ukijumlisha na mkojo wa nguruwe kama kinywaji,haki ya nani ponda akirudi ataacha upuuzi wake atakuwa shehe mfano wa kuigwa anasibiriwa kwa hamu na wagirigashi subiri uone, CHEZEA WASEBA WEWE.
 
Jamani muda umekaribia na naona al- nuur limeandika maandamano leo.hivi yapo kweli? Watakao kuwa dar katikati ya mji watujuze kinachojiri
 
Huyo ni mtuhumiwa na mshiriki wa alshaabab.

Hakuna dhamana; nyie endeleeni kupiga kelele, mahakama ndiyo mwamuzi wa mwisho, kelele zenu hazisaidii kinchotakwia ni kubadilika tabia na kujenga umoja wa kitaifa na siyo kujenga chuki kwa baadhi ya Watanzania.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom