Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Magufuli alikuwa anachanganya dini na serikali.Wew jamaa uelewa wako mdogo saana..mbona jpm alikuwa anaenda kanisani na camera zinamchukua akihutubia..vipi nae alikuwa anachanganya dini na serikali au??.
Alikuwa mpaka anatoa miongozo ya kiserikali kutoka kanisani.
Unapotaka kutetea kitu, kitetee kwa kuonesha uzuri wake.
Usikitetee kwa kusema kilishafanyika hapo awali.
Kwa sababu, hata vitu vibaya inawezekana vimeshafanyika hapo awali.
Ulichoandika hapa ni kama mtu anatetea mauaji, kwa sababu kuna mtu aliua huko nyuma.