We huoni kombati ya jeshi Hilo? Kama ni kitu binafsi why asingeweka picha aliyovaa mavazi binafsi?Kachanganyaje dini na kazi hapo?
Kalazimisha subordinates wake wakinunue hicho kitabu chake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We huoni kombati ya jeshi Hilo? Kama ni kitu binafsi why asingeweka picha aliyovaa mavazi binafsi?Kachanganyaje dini na kazi hapo?
Kalazimisha subordinates wake wakinunue hicho kitabu chake?
Kwanin viongoz wa polisi hawa jifunzi Kwa wenzao wa JWTZNamjua mnadhimu Mkuu wa majeshi Mathew Mkingule ni mnyenyekevu kuliko maelezo. Kijamii anajihusisha na watu wa hali ya kawaida na bila kuambiwa huwezi kuamini kama ana cheo kikubwa kiasi hicho. Mungu azidi kutujalia viongozi wengi wa aina hii
Kombati ya jeshi ndo nini?We huoni kombati ya jeshi Hilo? Kama ni kitu binafsi why asingeweka picha aliyovaa mavazi binafsi?
Kwao Mama Samia akienda nyumban kwao kuchuma karafuu cheo chake cha Uraisi ana kiweka pembeni ana weza ata kutukanwa na ata majirani zake?Nje ya kazi zake, hicho cheo siyo lazima akiweke.
Au kuna sheria inayolazimisha hivyo?
Why picha na nguo zetu then?Jeshi letu linaruhusu maafisa na askari wake kufuata imani yeyote wanayoamini,Gen Mabeyo ni mkristo,katika Ujenerali wake kaamua kumtukuza Kristo,Katika sheria zote za kijeshi hakuna sheria hata moja ambayo CDF amevunja kwa kufanya hivyo,kama una tatizo ni lako binafsi na katika hoja yako hauna mashiko.
Mlokole! Thubutu angekuwa mlokole ungeona wagalatia na wayebusi wangemshukia Kama taiSio mlokole, ni RC
Sasa Kama hujui kombati Nini utajuaje kuvaa nguo ya kazi kwenye mambo binafsi ni kosa?Kombati ya jeshi ndo nini?
Mtu binafsi anaweza kuweka picha yake yoyote ile impendezayo kwenye kitabu chake binafsi alichokiandika.
Hakuna mahali inapokatazwa mtu kuweka picha yake mwenyewe akiwa amevalia mavazi ya kazini kwake.
Picha ni yake mwenyewe na ana haki zote za kuitumia anavyotaka madhali hajakiuka chochote kilichokatazwa.
Div. IVKwanin viongoz wa polisi hawa jifunzi Kwa wenzao wa JWTZ
Niwekee hapa fasili ya “kombati”.Sasa Kama hujui kombati Nini utajuaje kuvaa nguo ya kazi kwenye mambo binafsi ni kosa?
Nguo zenu zipi? Hizo picha zinachapwa mpaka kwenye magazeti ya udaku,tatizo nini?Why picha na nguo zetu then?
You are contradicting yourself.Kitabu alichoandika, hajaandika kwa niaba ya Serikali au jeshi, ameandika kama yeye mwenyewe binafsi. Ni kitabu ambacho hakina uhusiano na cheo chake alichonacho, lakini bado anahitajika kuweka CV yake kwenye kitabu hicho, kutujulisha yeye ni nani. Sasa wewe ulitaka hata asiweke CV yake fupi kwenye kitabu alichoandika?
Unalazimisha kwamba sina amani.Unajua ukishajinadi kuwa huna dini na huamini kuwa Mungu yupo, halafu tena wakati huo huo unakuwa muda wote huna amani rohoni kwa kutokuwa na dini pamoja na kutomwamini Mungu matokeo yake ndiyo haya.
Kiranga nikupe principle moja ya maisha ambayo naona mpaka sasa bado huijjui: UKISHAONA UNAFANYA KITU AU UNA MSIMAMO AMBAO MUDA WOTE UNAKUWEKA KATIKA HALI YA KUKOSA AMANI ROHONI, UJUE KUNA MAHALI UMEKOSEA, TENA VIBAYA SANA
Why?Now there you are! ........ it must also APPEAR to be done!
Had it been said the opposite like ........"separation of religion and state must not APPEAR to be done, it must be done. , then your argument would have been okay,
Ni lazima tuseme, kuna watu wanajifunza hapa.Mkuu achana nayo hayo hayatakuelewa yamelewa udini
Kwao Mama Samia ni mke wa tatu.Kwao Mama Samia akienda nyumban kwao kuchuma karafuu cheo chake cha Uraisi ana kiweka pembeni ana weza ata kutukanwa na ata majirani zake?
Yah kiasi kikubwa umegusa penyewe. Tuishie hapoMkuu huyu lazima amesoma nje vyuo vikuu kozi za mambo ya kijeshi.
Inawezekana hakutaja kozi na vyuo kwa sababu maalum.
Kuna bandiko humu linasema alikuwa mtu wa intelijensia huko jeshini.
Zamani waseminari wengi walioshia kidato cha 6 walienda jeshini na baadaye kwenda kusoma ngazi ya shahada wakiwa kazini na hasa nchi kama Marekani.
Baadhi tunawajua ambao wamesoma Oklahoma nchini Marekani kwenye Military Academies kiwango cha University bachelor degree.
Ameweka wasifu wake, hajaweka cheo chake cha kijeshiYou are contradicting yourself.
Kama kitabu hajaandika kwa niaba ya serikali au jeshi, kwa nini ahitaji kuweka cheo chake cha kijeshi?