Pongezi kwa CDF Jenerali Venance Salvatory Mabeyo

Pongezi kwa CDF Jenerali Venance Salvatory Mabeyo

1.Ameondoa unyanyasaji na kutokufuata sheria wa vijana waliokuwa wanatoka mafunzoni, zamani walikuwa wanawapiga raia wanapokwaruzana kidogo lakini siku hizi hayo yameisha yamebaki machache sana

2.Kasababisha wanajeshi siku hizi wanasalimiana na majeshi mangine, kupendana na kuheshomiana ,siku hizi hakina maugonvi tena
 
Namjua mnadhimu Mkuu wa majeshi Mathew Mkingule ni mnyenyekevu kuliko maelezo. Kijamii anajihusisha na watu wa hali ya kawaida na bila kuambiwa huwezi kuamini kama ana cheo kikubwa kiasi hicho. Mungu azidi kutujalia viongozi wengi wa aina hii
Kwanin viongoz wa polisi hawa jifunzi Kwa wenzao wa JWTZ
 
We huoni kombati ya jeshi Hilo? Kama ni kitu binafsi why asingeweka picha aliyovaa mavazi binafsi?
Kombati ya jeshi ndo nini?

Mtu binafsi anaweza kuweka picha yake yoyote ile impendezayo kwenye kitabu chake binafsi alichokiandika.

Hakuna mahali inapokatazwa mtu kuweka picha yake mwenyewe akiwa amevalia mavazi ya kazini kwake.

Picha ni yake mwenyewe na ana haki zote za kuitumia anavyotaka madhali hajakiuka chochote kilichokatazwa.
 
Nje ya kazi zake, hicho cheo siyo lazima akiweke.

Au kuna sheria inayolazimisha hivyo?
Kwao Mama Samia akienda nyumban kwao kuchuma karafuu cheo chake cha Uraisi ana kiweka pembeni ana weza ata kutukanwa na ata majirani zake?
 
Jeshi letu linaruhusu maafisa na askari wake kufuata imani yeyote wanayoamini,Gen Mabeyo ni mkristo,katika Ujenerali wake kaamua kumtukuza Kristo,Katika sheria zote za kijeshi hakuna sheria hata moja ambayo CDF amevunja kwa kufanya hivyo,kama una tatizo ni lako binafsi na katika hoja yako hauna mashiko.
Why picha na nguo zetu then?
 
naona vurugu nyingi mno......mnisaidie jibu.....CDF Mabeyo amewahi kuongoza Kikosi Jeshi (KJ) chochote? kipi?.......
 
Mnabishana ...hewa tu

Bado Ana maisha binafsi na hajavunja Sheria hapo...
 
Kombati ya jeshi ndo nini?

Mtu binafsi anaweza kuweka picha yake yoyote ile impendezayo kwenye kitabu chake binafsi alichokiandika.

Hakuna mahali inapokatazwa mtu kuweka picha yake mwenyewe akiwa amevalia mavazi ya kazini kwake.

Picha ni yake mwenyewe na ana haki zote za kuitumia anavyotaka madhali hajakiuka chochote kilichokatazwa.
Sasa Kama hujui kombati Nini utajuaje kuvaa nguo ya kazi kwenye mambo binafsi ni kosa?
 
Kitabu alichoandika, hajaandika kwa niaba ya Serikali au jeshi, ameandika kama yeye mwenyewe binafsi. Ni kitabu ambacho hakina uhusiano na cheo chake alichonacho, lakini bado anahitajika kuweka CV yake kwenye kitabu hicho, kutujulisha yeye ni nani. Sasa wewe ulitaka hata asiweke CV yake fupi kwenye kitabu alichoandika?
You are contradicting yourself.

Kama kitabu hajaandika kwa niaba ya serikali au jeshi, kwa nini ahitaji kuweka cheo chake cha kijeshi?
 
Unajua ukishajinadi kuwa huna dini na huamini kuwa Mungu yupo, halafu tena wakati huo huo unakuwa muda wote huna amani rohoni kwa kutokuwa na dini pamoja na kutomwamini Mungu matokeo yake ndiyo haya.
Kiranga nikupe principle moja ya maisha ambayo naona mpaka sasa bado huijjui: UKISHAONA UNAFANYA KITU AU UNA MSIMAMO AMBAO MUDA WOTE UNAKUWEKA KATIKA HALI YA KUKOSA AMANI ROHONI, UJUE KUNA MAHALI UMEKOSEA, TENA VIBAYA SANA
Unalazimisha kwamba sina amani.

Mimi nimejibu kwenye uzi ambao mtu kaanzisha, hii issue wala sikuileta mimi hapa.

Sasa wewe unaninyanyapaa kwamba mimi kuchangia hapa JF ni kukosa amani kwa sababu hukubaliani nami tu?

Unaunganisha mambo ambayo hayana uhusiano wowote.

Umezusha tu kwamba sina amani.

Kwa sababu, huna uwezo wa kukanusha hoja ya kwamba Jenerali kachanganya mambo ya dini na jeshi.

Umeshindwa hoja, unaleta viroja.
 
Now there you are! ........ it must also APPEAR to be done!
Had it been said the opposite like ........"separation of religion and state must not APPEAR to be done, it must be done. , then your argument would have been okay,
Why?
 
Kwao Mama Samia akienda nyumban kwao kuchuma karafuu cheo chake cha Uraisi ana kiweka pembeni ana weza ata kutukanwa na ata majirani zake?
Kwao Mama Samia ni mke wa tatu.

Akienda anaweka urais pembeni ana wake wawili wakubwa kwake.

Anatakiwa kuwaheshimu bila nyodo za urais.

Cheo ni dhamana. Usiitumie isipohusika.
 
Mkuu huyu lazima amesoma nje vyuo vikuu kozi za mambo ya kijeshi.
Inawezekana hakutaja kozi na vyuo kwa sababu maalum.

Kuna bandiko humu linasema alikuwa mtu wa intelijensia huko jeshini.

Zamani waseminari wengi walioshia kidato cha 6 walienda jeshini na baadaye kwenda kusoma ngazi ya shahada wakiwa kazini na hasa nchi kama Marekani.

Baadhi tunawajua ambao wamesoma Oklahoma nchini Marekani kwenye Military Academies kiwango cha University bachelor degree.
Yah kiasi kikubwa umegusa penyewe. Tuishie hapo
 
You are contradicting yourself.

Kama kitabu hajaandika kwa niaba ya serikali au jeshi, kwa nini ahitaji kuweka cheo chake cha kijeshi?
Ameweka wasifu wake, hajaweka cheo chake cha kijeshi
 
Back
Top Bottom