Pongezi kwa CDF Jenerali Venance Salvatory Mabeyo

Pongezi kwa CDF Jenerali Venance Salvatory Mabeyo

Jenerali MHALIFU huyu anashiriki kwenye ULAGHAI wa kutengeneza mashahidi kama akina Denis Urio, nani atamuamini tena? Labda wewe huko kanisani kwenu.
 
Hoja kwamba yule si Jenerali.

Hoja katumia cheo cha Ujenerali kwenye kitabu cha dini.

Anachanganya Ujenerali na dini.
Sasa mkuu ulitaka ajiandikaje wakati hiko ndio cheo chake ?

Yule sio mwananchi wa kawaida.
 
Sasa mkuu ulitaka ajiandikaje wakati hiko ndio cheo chake ?

Yule sio mwananchi wa kawaida.
Cheo chake kwenye nini?

Angejiandika kwa cheo chake cha kidini, kwenye kitabu cha kidini.

Sasa cheo cha kijeshi kwenye kitabu cha kidini kinakuja vipi?

Angeandika cheo chake cha kidini, kwani Jenerali ni cheo chake cha kidini?
 
Tatizo ni uelewa, rais akiingia kanisani au msikitini anaugua urais kwanza? Jenerali kaandika kitabu kuhusu dini yake, tatizo si yeye bali ni nyie
Kitabu cha dini, kwa nini hakutumia cheo chake cha kidini hapo kwenye cover kahusisha jeshi na mambo ya dini?

Waislamu wakisema jeshi linaingiziwa udini mtakataa?
 
Cheo chake kwenye nini?

Angejiandika kwa cheo chake cha kidini, kwenye kitabu cha kidini.

Sasa cheo cha kijeshi kwenye kitabu cha kidini kinakuja vipi?

Hata mwanajeshi anaweza kuwa na dini , hivyo yeye ni jenerali kijeshi na amenandika kitabu cha dini ambacho hazuiwi na mtu au sheria yeyote ile kuiamini
 
Hata mwanajeshi anaweza kuwa na dini , hivyo yeye ni jenerali kijeshi na amenandika kitabu cha dini ambacho hazuiwi na mtu au sheria yeyote ile kuiamini

Yeye ni jenerali kijeshi au kidini?

Kwa nini aweke ujenerali wa kijeshi kwenye kitabu cha kidini?
 
Yeye ni jenerali kijeshi au kidini?

Kwa nini aweke ujenerali wa kijeshi kwenye kitabu cha kidini?
Yule ata kwenye dini bado anaitwa jenerali na hata ikitokea samia amealikwa kwenye ishu ya kidini bado atabaki kuitwa raisi sio huku unaitwa hivi na huku unaitwa hivi eti kisa dini,,, sasa unaposema jeshi limeingizwa udini yaan kivip kimsing gani yan
 
Hatujui kutenganisha maisha ya mtu binafsi na kazi za serikali.

Moja ya sababu ya umasikini.
 
Kitabu cha dini, kwa nini hakutumia cheo chake cha kidini hapo kwenye cover kahusisha jeshi na mambo ya dini?

Waislamu wakisema jeshi linaingiziwa udini mtakataa?
Kumbe nanishana na taliban
 
Hatujui kutenganisha maisha ya mtu binafsi na kazi za serikali.

Moja ya sababu ya umasikini.
Wew jamaa uelewa wako mdogo saana..mbona jpm alikuwa anaenda kanisani na camera zinamchukua akihutubia..vipi nae alikuwa anachanganya dini na serikali au??.
 
Bila Jenerali Mabeyo kusimama kidete, 'mama' asingeapishwa…. alikuwa ashaanza kusetiwa atangaze kuwa viatu havimtoshi.

Na sasa muda wa Mabeyo kustaafu ushafika lakini mama hataki kumruhusu, sijui atamwongezea muda hadi lini.!

Nafurahi ila NAOGOPA.
Mipango yenu ilikuwa ya uovu toka mwanzo. Pamoja na kumuwahisha kabla ya muda ila hamtakuwa na amani hata kama mnakula nchi kwa ruhusa yake hangaya.
Jamaa aliwabana Sana .
 
Anachanganya kazi na dini inaweza kumletea matatizo.

U Jenerali ni cheo chake kikazi, habari za Kristo ni dini yake binafsi, kwa nini anaweka U Jenerali kwenye kitabu cha Kristo, habari za imani yake binafsi?

Kwani na yeye ni Jenerali wa jina kama Jenerali Ulimwengu?
Hajielewi.
 
Salaam

Kwanza nikiri wazi kwamba mimi sio mwanajeshi kuweza kuufahamu utendaji wa ndani kabisa wa CDF wetu wa JMT lakini kwa jicho la nje ningependa kutoa pongezi nyingi kwake kwa utendaji na uzalendo uliotukuka.

Mbali na utendaji wake ndani ya jeshi, Kiongozi huyu ameonekana sehemu mbali mbali akitoa mchango wake katika jamii katika kuhakikisha ustawi wa kifikra, kiuchumi,na maendeleo ya jamii kiujumla.

Kwa namna hii ya viongozi kujishusha na kuwa karibu zaidi na wananchi na kuweza kusaidia pale ambapo anahisi kwa kadri ya uwezo wake na nafasi aliyonayo anaweza kutoa msaada ni jambo la mfano na kuigwa na kiongozi yeyote. Na huu ni mfano Bora katika jamii.

Mbali na nafasi kubwa aliyonayo, Jenerali Mabeyo pia amekuwa akishiriki katika harambee mbalimbali kama ujenzi wa vituo vya watoto yatima, shule,mahospitali n.k

Pia Jenerali Mabeyo ameandika vitabu vingi ambavyo kwa namna moja ama nyingine vimekuwa na mchango mkubwa katika kuielimisha na kuibadilisha jamii katika kuhakikisha kuwa tunakuwa na jamii bora zenye misingi imara kifikra,kimaadili na kiuchumi kwa maslahi mapana ya taifa letu kiujumla.

Binafsi kinachonifurahisha zaidi ni kwamba amekuwa akifanya na kushiriki haya yote nje ya camera! Wala hakufanya kama wafanyavyo wanasiasa wengine kwa lengo la kujipatia umaarufu.Hakika unyenyekevu huu ni wa kipekee sana.

Kwa kiongozi wa aina hii, Sina shaka kabisa kwamba hata ndani ya jeshi la ulinzi hakika kutakuwa na mabadiliko mengi chanya na yenye tija kwa taifa.

Nimalizie kwa kumsihi na kumtia moyo Jenerali huyu, kwamba watanzania tunaona na kufurahishwa na kazi zako na tunazidi kukuombea Afya njema na maisha marefu ili uzidi kutoa mchango kwa taifa hili.

View attachment 2106241View attachment 2106242
Hata kwa Mungu pia bado yeye ni General. Qualities za hali ya juu sana ambazo kawaida watu tulio wengi hatuna!
 
Anachanganya kazi na dini inaweza kumletea matatizo.

U Jenerali ni cheo chake kikazi, habari za Kristo ni dini yake binafsi, kwa nini anaweka U Jenerali kwenye kitabu cha Kristo, habari za imani yake binafsi?

Kwani na yeye ni Jenerali wa jina kama Jenerali Ulimwengu?
Una wenge sana wewe
 
Kitabu alichoandika, hajaandika kwa niaba ya Serikali au jeshi, ameandika kama yeye mwenyewe binafsi. Ni kitabu ambacho hakina uhusiano na cheo chake alichonacho, lakini bado anahitajika kuweka CV yake kwenye kitabu hicho, kutujulisha yeye ni nani. Sasa wewe ulitaka hata asiweke CV yake fupi kwenye kitabu alichoandika?
 
Unajua ukishajinadi kuwa huna dini na huamini kuwa Mungu yupo, halafu tena wakati huo huo unakuwa muda wote huna amani rohoni kwa kutokuwa na dini pamoja na kutomwamini Mungu matokeo yake ndiyo haya.
Kiranga nikupe principle moja ya maisha ambayo naona mpaka sasa bado huijjui: UKISHAONA UNAFANYA KITU AU UNA MSIMAMO AMBAO MUDA WOTE UNAKUWEKA KATIKA HALI YA KUKOSA AMANI ROHONI, UJUE KUNA MAHALI UMEKOSEA, TENA VIBAYA SANA
 
The principle of separation of religion and state in a non religious state would forbid the callous parading and basic pimping of a non religious military rank in a religious book.

Separation of religion and state must not only be done, it must also appear to be done.
Now there you are! ........ it must also APPEAR to be done!
Had it been said the opposite like ........"separation of religion and state must not APPEAR to be done, it must be done. , then your argument would have been okay,
 
Hivyo ni vya Colombia au Mexico?

Hao ni wakuu wa majeshi? Majenerali?

Unaelewa Chaplain ni nini katika jeshi la Marekani?

Tanzania tuna Chaplain?

Kuna mtu kataja Yesu katika covers za hivyo vitabu?
Mkuu achana nayo hayo hayatakuelewa yamelewa udini
 
Back
Top Bottom