Pongezi kwa CDF Jenerali Venance Salvatory Mabeyo

Pongezi kwa CDF Jenerali Venance Salvatory Mabeyo

Ungekuwa na uhalali hata wa kuona vitabu vya kijeshi vya sheria usingekuwa unaongea upuuzi unaongea.
Uhalali ni nini na unathibitishaje sina uhalali na kwamba hilo dai si ubaguzi wako tu kwa watu wasiokubaliana nawe?
 
Ndiyo kusema mnataka naye ajiuzulu, kama hivi majuzi alivyofanya Mjuzulu JYN?
 
Hivyo ni vya Colombia au Mexico?

Hao ni wakuu wa majeshi? Majenerali?

Unaelewa Chaplain ni nini katika jeshi la Marekani?

Tanzania tuna Chaplain?

Kuna mtu kataja Yesu katika covers za hivyo vitabu?
Huo ni ujinga unaobishania.
Kisome kitabu chake kama hakina material potezea.
Kuvaa hijab kwa Rais vazi la kiislam sio ajenda kwenye urais wake.
Hivyo kama ujenerali kwenye kava sio issue jeshini kwake.
Kama umechafukwa toka povo
 
This site can’t be reached
It’s reachable to me…..

976B6F0E-E1F1-4D42-A005-3D7603B74643.png
 
Huo ni ujinga unaobishania.
Kisome kitabu chake kama hakina material potezea.
Kuvaa hijab kwa Rais vazi la kiislam sio ajenda kwenye urais wake.
Hivyo kama ujenerali kwenye kava sio issue jeshini kwake.
Kama umechafukwa toka povo
Kitabu cha dini kimeanza kwa ku pimp ujenerali kwenye cover, kazi isiyo ya kidini.

Mpaka hapo hujaona tatizo?
 
Ni kazi yako kuuonesha, ujinga wako ni kwamba kazi yako hiyo unanipa mimi.

Wewe si mjinga tu, ni mjinga mvivu.
Siko hapa kujadili ujinga wako,wala kujipa kazi zisizo na tija,umeweka hoja zako za kipuuzi waziwazi na waziwazi tumekuonesha haupo sawa...acha personal attacks,kama hoja zimekuishia fanya mambo mengine.
 
Kitabu cha dini kimeanza kwa ku pimp ujenerali kwenye cover, kazi isiyo ya kidini.

Mpaka hapo hujaona tatizo?
Unajua maana ya ushuhuda? Kukiri mambo makuu ambayo Mungu amekutendea mbele ya ulimwengu....hiko cheo kuwepo hapo tu ni ushuhuda tosha.
 
Hivyo ni vya Colombia au Mexico?

Hao ni wakuu wa majeshi?

Unaelewa Chaplain ni nini katika jeshi la Marekani?

Tanzania tuna Chaplain?

Kuna mtu kataja Yesu katika covers za hivyo vitabu?
Kwa hio issue ni kuandikwa yesu kwenye cover ama vitabu vya dini? Na issue nyengine ni mwanajeshi ama lazima awe wa Colombia na Mexico?
 
Kitabu cha dini kimeanza kwa ku pimp ujenerali kwenye cover, kazi isiyo ya kidini.

Mpaka hapo hujaona tatizo?

Unapojaribu kutenganisha dini na jeshi, rejea kwanza kwa Jemedari Mkuu Mungu wa Majeshi.
 
Mkuu huyu lazima amesoma nje vyuo vikuu kozi za mambo ya kijeshi.
Inawezekana hakutaja kozi na vyuo kwa sababu maalum.

Kuna bandiko humu linasema alikuwa mtu wa intelijensia huko jeshini.

Zamani waseminari wengi walioshia kidato cha 6 walienda jeshini na baadaye kwenda kusoma ngazi ya shahada wakiwa kazini na hasa nchi kama Marekani.

Baadhi tunawajua ambao wamesoma Oklahoma nchini Marekani kwenye Military Academies kiwango cha University bachelor degree.
Wewe umetoa jibu la kueleweka

Ila sioni kama kuna ulazima wa kuficha wenzetu Wana CV zilizoshiba wanaweka vitu wazi
 
Bila Jenerali Mabeyo kusimama kidete, 'mama' asingeapishwa…. alikuwa ashaanza kusetiwa atangaze kuwa viatu havimtoshi.

Na sasa muda wa Mabeyo kustaafu ushafika lakini mama hataki kumruhusu, sijui atamwongezea muda hadi lini.!

Nafurahi ila NAOGOPA.
Majenerali huwa wanaruhusiwa kwenda mpaka miaka 70 kama Afya inaruhusu.
 
Back
Top Bottom