Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwani kukosoa kitu ambacho hukubaliani nacho ni lazima iwe kuchukia?Sio lazima lakini ni hiyari yake kukiweka,kwanini mnachukia akiweka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kukosoa kitu ambacho hukubaliani nacho ni lazima iwe kuchukia?Sio lazima lakini ni hiyari yake kukiweka,kwanini mnachukia akiweka?
Mkuu huyu lazima amesoma nje vyuo vikuu kozi za mambo ya kijeshi.Huyu CDF ameishia kusoma mzumbe tu hajaenda University?
The core idea of separation of religion and state.Where is it forbidden? Where is it written that it is forbidden?
Mkuu huyu lazima amesoma nje vyuo vikuu kozi za mambo ya kijeshi.
Inawezekana hakutaja kozi na vyuo kwa sababu maalum.
Kuna bandiko humu linasema alikuwa mtu wa intelijensia huko jeshini.
Zamani waseminari wengi walioshia kidato cha 6 walienda jeshini na baadaye kwenda kusoma ngazi ya shahada wakiwa kazini na hasa nchi kama Marekani.
Jeshi letu linaruhusu maafisa na askari wake kufuata imani yeyote wanayoamini,Gen Mabeyo ni mkristo,katika Ujenerali wake kaamua kumtukuza Kristo,Katika sheria zote za kijeshi hakuna sheria hata moja ambayo CDF amevunja kwa kufanya hivyo,kama una tatizo ni lako binafsi na katika hoja yako hauna mashiko.Mimi najadili hoja ya separation of religion and state.
Wewe unaandika hagiography.
Hii ndiyo tofauti yetu.
What he has done is not forbidden anywhere.The core idea of separation of religion and state.
What is this "where"? Are we not capable of investigating ideas logically?
Don't you see this sort of pimping military ranks religiously may create disillusions even if done innocuosly?
The core idea of separation of religion and state.
What is this "where"? Are we not capable of investigating ideas logically?
Don't you see this sort of pimping military ranks religiously may create disillusions even if done innocuosly?
Yes, and everyone is entitled to an opinion.Hizo inawezekana inawezekana na hizo sababu maalum ni hisia au maoni yako tu.
Sio lazima, lakini "unaonekana" hivyo,ninaweza kuwa sipo sawa pia...lakini nipo sawa kuonekana sipo sawa kuhusu wewe kuonekana hivyo.Kwani kukosoa kitu ambacho hukubaliani nacho ni lazima iwe kuchukia?
Yes, and everyone is entitled to an opinion.Hizo inawezekana inawezekana na hizo sababu maalum ni hisia au maoni yako tu.
Ni wewe na ujinga na woga wako tu.Sio lazima, lakini "unaonekana" hivyo,ninaweza kuwa sipo sawa pia...lakini nipo sawa kuonekana sipo sawa kuhusu wewe kuonekana hivyo.
Kwani wapi nimesema jeshi haliruhusu maafisa wake kufuata imani wanayoitaka?Jeshi letu linaruhusu maafisa na askari wake kufuata imani yeyote wanayoamini,Gen Mabeyo ni mkristo,katika Ujenerali wake kaamua kumtukuza Kristo,Katika sheria zote za kijeshi hakuna sheria hata moja ambayo CDF amevunja kwa kufanya hivyo,kama una tatizo ni lako binafsi na katika hoja yako hauna mashiko.
Mungu mwenyewe ushaogopa kumuelezea, hivyo point yako umeiua mwenyewe.Mbona Mungu mwenyewe ni Jemedari Mkuu na Bwana wa Majeshi? Ushajiuliza ni majeshi yapi?
NB: Usiniulize lile swali lako kuhusu Mungu.
Hizo professional code of ethics za wanajeshi wa Tanzania umeziona wapi?What he has done is not forbidden anywhere.
If it’s not forbidden, then it is permitted.
But you have the right to not like it.
He is not in contravention of any law, constitution, or profession[al] code of ethics.
Vipi kuhusu ujinga wako?Ni wewe na ujinga na woga wako tu.
Ukiona mtu anakosoa kwa jinsi usivyokubali, unaona chuki tu.
Kwa sababu huna uwezo wa kufikiri zaidi ya hapo.
Ungekuwa na uhalali hata wa kuona vitabu vya kijeshi vya sheria usingekuwa unaongea upuuzi unaongea.Hizo professional code of ethics za wanajeshi wa Tanzania umeziona wapi?
Ziweke hapa tuzichambue.
Ni kazi yako kuuonesha, ujinga wako ni kwamba kazi yako hiyo unanipa mimi.Vipi kuhusu ujinga wako?
Unataka Mabeyo afanye unavyojisikia wewe kwenye kitabu chake binafsi?Kwani wapi nimesema jeshi haliruhusu maafisa wake kufuata imani wanayoitaka?
Jeshi linamruhusu Mabeyo kujamba ushuzi mkali kwenye gari iliyofungwa vioo?
Wewe hujaelewa kwamba najadili principle, si ninachotaka mimi.Unataka Mabeyo afanye unavyojisikia wewe kwenye kitabu chake binafsi?
Tujadili kwanza ushuzi wako unaoleta hapa jukwaani.
Unaweza ukawa unazunguka sana,lakini hoja yako haipo kwa Mabeyo,pengine ni hilo jina la Kristo kwenye hicho kitabu.
Kwani Jenerali ulimwengu anasemaje kuhusu iliAnachanganya kazi na dini inaweza kumletea matatizo.
U Jenerali ni cheo chake kikazi, habari za Kristo ni dini yake binafsi, kwa nini anaweka U Jenerali kwenye kitabu cha Kristo, habari za imani yake binafsi?
Kwani na yeye ni Jenerali wa jina kama Jenerali Ulimwengu?