Pongezi kwa Diamond Anayejijua kimziki kashuka na kuhamisha juhudi zake aje kuwa mfanya biashara mkubwa bilionea

Pongezi kwa Diamond Anayejijua kimziki kashuka na kuhamisha juhudi zake aje kuwa mfanya biashara mkubwa bilionea

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925

Sina ndoto za kuimba milele, nataka kuwa mfanyabiashara mkubwa bilionea.

Ni maneno yake hayo aliyoyatoa hivi karibuni msanii Diamond Platnumz, ni maneno ya kuonyesha kwamba kwa sasa kaona wazi kabisa zama zimebadilika na muda umeenda, badala ya kuendelea kulazimisha game kwa nguvu ameona ni heri aingie plan B mapema.

Pesa ndio muhimu kuzidi mziki, Mziki una mwisho wake. Diamond kimaisha yeye yupo mbali sana, utajiri wake umempa pia Heshma ya Mziki lakini pesa inabidi ziendelee kutengenezwa lasivyo zikiisha ni aibu.
 
IMG_20220523_142258.jpg
 
Back
Top Bottom