PONGEZI MAALUMU KWA POLISI.
Jeshi letu la polisi wanapofanya operation zao kikweli hua zinasaidia sana na kwa aina ya IGP wa sasa uhalifu unakwenda kupungua sana maana hua yeye ni mtu wa field na majambazi na wezi hufinywa kimya kimya.
Amina nawaeleza kama wewe sio muhalifu na ni raia mwema na ukikamatwa ukajieleza vizuri bila kutukana wala kudhalilisha jeshi kamwe hutoonewa.
Polisi wanaweza kua baadhi sio weledi lakini hiyo haiondoi maana kua jeshi letu halifanyi kazi nzuri hapana.
Toka operation ya panya road imeanza mmesikia hata panya road mmoja akikohoa huko mtaani?
Wezi wanafahamika na tunaishi nao sasa inapofikia hatua tunaposhindwa kuwafichua polisi wakowafichua kwa mbinu zao za kimedani basi tusilalamike.
Hongera IGP wambura, Hongera kwa Makamishna wote na hongera askari wetu wote kazi mnayofanya tunaitambua na kuienzi.