Pongezi Kwa JWTZ Kwa kuwafurusha Kagame na M23

Pongezi Kwa JWTZ Kwa kuwafurusha Kagame na M23

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Watanzania kati ya vitu tunavyo ni JWT ni jeshi limezingatia weledi, mbinu imara katika medani za kivita

Watanzania tuna Imani na jeshi JWTZ na tunaliamini sana

Wanasiasa mmeharibu kila kitu Sasa tunaomba msijaribu kuingilia jeshi letu na kuliharibu

Leo tumeona Kagame kakimbia mwenyewe vita baada ya JWTZ kuonyesha Nia ya kuingia kifua mbele kuwafyeka m 23
Askari wetu wa JWTZ waliouawa ni hakika Kagame alipo anahaha na Nina Imani atalipa damu zao

JWTZ ndo wamemfukuza Kagame na wahuni wa m23 Congo DR
JWTZ waliwawezesha Burundi na Congo DR kuwavamia na kuwafata m 23
Inakadiriwa raia zaidi ya 900 wameuwawa pale Congo DR
Hongera JWTZ Kwa ushindi huko Congo DR
 
Ni hesabu kali sana kumfurusha mpaka kigali kwa gharama nafuu. Ila abanwe tu hukohuko congo kama hesabu ya kuingia kigali ni kubwa
South Africa na JWTZ wameapa kulipa kisasi
Kumbuka South Africa ana Ushawishi Kwa Russia, Sasa hapo nadhani unajua Russia akialikwa na South hauchelewi kuja Goma.
Putin hana masihara
Kagame amepiga hizo hesabu akakimbia
 
Back
Top Bottom