Pongezi Kwa JWTZ Kwa kuwafurusha Kagame na M23

Pongezi Kwa JWTZ Kwa kuwafurusha Kagame na M23

Mjinga wewe m23 wahuni kwako Kwa wenzio wapigania haki jinga sana wewe
Sawa, naomba kufahamu jambo Toka kwako ndugu, iwapo nahitaji muafaka nawe na nikiwa mwenyeji wa uasi wako na bado kila dalili inaonyesha unapata usaidizi Toka pembeni!!!! Je Mimi natakiwa kufanya nini? Nibaki na amani nyumbani kwangu.
 
Sawa, naomba kufahamu jambo Toka kwako ndugu, iwapo nahitaji muafaka nawe na nikiwa mwenyeji wa uasi wako na bado kila dalili inaonyesha unapata usaidizi Toka pembeni!!!! Je Mimi natakiwa kufanya nini? Nibaki na amani nyumbani kwangu.
We ndio muasi unatapeli haki za wananchi full stop wananchi wameamua kupambania haki Yao
 
We ndio muasi unatapeli haki za wananchi full stop wananchi wameamua kupambania haki Yao
Mwananchi yupi?! Ambae analia Vita inmnyima haki ya kwenda kujitafutia na kuishi maisha take kwa Uhuru!!!!
Ngoja nikwambie kitu ndugu changmoto kubwa yetu tunashindwa kufanya maamuzi sahihi sababu tunaogopa mabadiliko na gharama yake Ila ianpofikia hatua ya wageni kuona fursa na kuzitumia ndo tunalalamika, ndo kinachotokea Congo na Africa kwa ujumla.
Natamani kuona Africa mzima ni marafiki Ila leo unaweza kutana na Mganda na bado mkabaguana haijlishi Nani anataka ukaribu.
Ukimpata wa lugha tofauti nawe embu jaribu siku kuwasiliana nae kwa lugha yake alafu matokeo njoo uniambie ndugu.
 
Labda ungesema jeshi la afrika kusini ndilo limewaondoa hao m23 na siyo hiyo dhaifu inayoitwa jeiwi.JWTZ ni miongoni mwa majeshi matatu dhaifu kupindukia duniani.
Ndio maana CCM inauza nchi wao wanajifanya hawahusiki!
 
Ubora wa jeshi ni pamoja na vifaa vya kisasa.sasa wao hutuonesha silaha za mwaka 1940 hapo utasema kunajeshi? Labda ungesema jeshi letu lipo vizuri Kwa kubangua korosho kwa meno hapo nitakuelewa.Maana kipindi kile tuliwaona walivyomahili Kwa kubangua korosho kwa meno
Mkuu,itakuwa jeshi la ulinzi la taifa lililo moyon mwako linapata upinzan mkubwa kutoka JW,ndo maana unafosi kuishusha thamani JW ili upate amani ya moyo.

I
 
Watanzania kati ya vitu tunavyo ni JWT ni jeshi limezingatia weledi, mbinu imara katika medani za kivita

Watanzania tuna Imani na jeshi JWTZ na tunaliamini sana

Wanasiasa mmeharibu kila kitu Sasa tunaomba msijaribu kuingilia jeshi letu na kuliharibu

Leo tumeona Kagame kakimbia mwenyewe vita baada ya JWTZ kuonyesha Nia ya kuingia kifua mbele kuwafyeka m 23
Askari wetu wa JWTZ waliouawa ni hakika Kagame alipo anahaha na Nina Imani atalipa damu zao

JWTZ ndo wamemfukuza Kagame na wahuni wa m23 Congo DR
JWTZ waliwawezesha Burundi na Congo DR kuwavamia na kuwafata m 23
Inakadiriwa raia zaidi ya 900 wameuwawa pale Congo DR
Hongera JWTZ Kwa ushindi huko Congo DR

Aisee!
 
M 23 wameweka mpira kwapani na kukimbia.
Wanasema ati wanasitisha vita lakini kiukweli mziki umekuwa mnene
Wako na Uganda amkuu wanerudiahanmji MMOJA walioingia mbwa wale
 
Back
Top Bottom