Pongezi Kwa JWTZ Kwa kuwafurusha Kagame na M23

M-vingt-trois wamekula kichapo mfulilizo wamezidiwa wanajifanya wamesimamisha for humanitarian reason. Kusimamisha vita kwa sababu za kibinaadamu Huwa ni makubaliano ya pande mbili Sasa wameibuka wenyewe baada ya kuzidiwa wanavuna walichokipanda.
 
Hao washapigwa
 
South Africa na JWTZ wameapa kulipa kisasi
Kumbuka South Africa ana Ushawishi Kwa Russia, Sasa hapo nadhani unajua Russia akialikwa na South hauchelewi kuja Goma.
Putin hana masihara
Kagame amepiga hizo hesabu akakimbia
Mnaleta ushabiki kwenye mambo ya msingi
 
huu ngogoro kila nchi inajimwambafai kwamba wao ndio kiboko, ukiingia YouTube south Africa wasema wao ndio wanalinda amani ya kongo miaka yote.
 
Hayo yanaonyesha mfumo wa kijeshi ume feli
 
Tunamshukuru Mungu kwa kulinda jeshi letu.
Hongereni wapambanaji wetu mmefanya kazi nzuri sana ila endeleeni kuwa macho kwa kumweka Mungu mbele kwani hashindwi katika jambo lolote
 
Back
Top Bottom