Pongezi Kwa JWTZ Kwa kuwafurusha Kagame na M23

South Africa na JWTZ wameapa kulipa kisasi
Kumbuka South Africa ana Ushawishi Kwa Russia, Sasa hapo nadhani unajua Russia akialikwa na South hauchelewi kuja Goma.
Putin hana masihara
Kagame amepiga hizo hesabu akakimbia
Ni jambo njema Urusi kualikwa,

Vita ya Congo kuisikia kila siku inakera sana na kutia hasira,

Je Mrusi atafaidikaje akija Congo?

Je askari wakuja Congo anao?

Kama anao iweje alienda kuchukua Korea ya Kaskazini na wale Wachechenia kwenda kumsaidia Ukraine?
 
Labda ungesema jeshi la afrika kusini ndilo limewaondoa hao m23 na siyo hiyo dhaifu inayoitwa jeiwi.JWTZ ni miongoni mwa majeshi matatu dhaifu kupindukia duniani.
Hakuna operation tuliyoshindwa. Unasemaje ni dhaifu?
 
Hakuna operation tuliyoshindwa. Unasemaje ni dhaifu?
Operationi ya maana hakuna ispokuwa operation uchwara ya kuzuia chadema siku ile walifanya usafi barabarani Nchi nzima lengo ni kuzuia chadema wasiandamane.
 
Operationi ya maana hakuna ispokuwa operation uchwara ya kuzuia chadema siku ile walifanya usafi barabarani Nchi nzima lengo ni kuzuia chadema wasiandamane.
Tafuta operation za JW bosi achana na hizo za kisiasa.
 
Wai hospital wakupime akili wanaume wameshikilia goma hii wiki Sasa Kila kitu wanaendesha wenyewe ukitaka kuumia iguse goma uletewe vita tanzania
 
Kuna muda ni ngumu Sana kuelewa!!!! Hivi unafanya mazungumzo ya kuleta amani na kikundi Cha wahuni walio amua kufanya uporaji na mauaji????!!!?
Kama lugha yao ni kupigana Basi huna budi nawe kupigana Tena upo nyumbani kwako!!!!!!
EAC wafanye maamuzi ya kuruhusu Vita vipiganwe Kati ya hao waasi m23 na vikosi vya kulinda amani vibadili jina na kuitwa Vikosi vya maangamizi alaf majibu take yatapatikani tu ama huyo mfadhili alete nae Vikosi full Toka Rwanda.
 
Mjinga wewe m23 wahuni kwako Kwa wenzio wapigania haki jinga sana wewe
 
Utoto unakusumbua ukikua utaacha
 
Mbona tuliambiwa M23 wamesitisha mapigano kwasababu za kibinadamu
 
Labda ungesema jeshi la afrika kusini ndilo limewaondoa hao m23 na siyo hiyo dhaifu inayoitwa jeiwi.JWTZ ni miongoni mwa majeshi matatu dhaifu kupindukia duniani.
Jeshi la maonyesho December 09
 
Taarifa zilizopo nikua mpk jwtz wameuwa na si vinginevyo mkuu.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Labda ungesema jeshi la afrika kusini ndilo limewaondoa hao m23 na siyo hiyo dhaifu inayoitwa jeiwi.JWTZ ni miongoni mwa majeshi matatu dhaifu kupindukia duniani.
Dhaifu eeeh, lkn ni kwa mtazamo wako...inaonekana ni kwajinsi Gani hujuwi vizuri muundo mzima wa JWTZ ktk ufanisi wake kijasusi na hata kihistoria hasa kikanda. Heshim Tena sana sio kidogo mfumo mzima wa usalama wa nchi ya Tanzania na majeshi yake sio yakuyabeza hata kidogo, watu wanao elewa vizur JWTZ na utendaji wake wanaelewa nini ninachoandika
 
Ubora wa jeshi ni pamoja na vifaa vya kisasa.sasa wao hutuonesha silaha za mwaka 1940 hapo utasema kunajeshi? Labda ungesema jeshi letu lipo vizuri Kwa kubangua korosho kwa meno hapo nitakuelewa.Maana kipindi kile tuliwaona walivyomahili Kwa kubangua korosho kwa meno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…