Sawa, naomba kufahamu jambo Toka kwako ndugu, iwapo nahitaji muafaka nawe na nikiwa mwenyeji wa uasi wako na bado kila dalili inaonyesha unapata usaidizi Toka pembeni!!!! Je Mimi natakiwa kufanya nini? Nibaki na amani nyumbani kwangu.Mjinga wewe m23 wahuni kwako Kwa wenzio wapigania haki jinga sana wewe
We ndio muasi unatapeli haki za wananchi full stop wananchi wameamua kupambania haki YaoSawa, naomba kufahamu jambo Toka kwako ndugu, iwapo nahitaji muafaka nawe na nikiwa mwenyeji wa uasi wako na bado kila dalili inaonyesha unapata usaidizi Toka pembeni!!!! Je Mimi natakiwa kufanya nini? Nibaki na amani nyumbani kwangu.
Mwananchi yupi?! Ambae analia Vita inmnyima haki ya kwenda kujitafutia na kuishi maisha take kwa Uhuru!!!!We ndio muasi unatapeli haki za wananchi full stop wananchi wameamua kupambania haki Yao
Ndio maana CCM inauza nchi wao wanajifanya hawahusiki!Labda ungesema jeshi la afrika kusini ndilo limewaondoa hao m23 na siyo hiyo dhaifu inayoitwa jeiwi.JWTZ ni miongoni mwa majeshi matatu dhaifu kupindukia duniani.
Mkuu,itakuwa jeshi la ulinzi la taifa lililo moyon mwako linapata upinzan mkubwa kutoka JW,ndo maana unafosi kuishusha thamani JW ili upate amani ya moyo.Ubora wa jeshi ni pamoja na vifaa vya kisasa.sasa wao hutuonesha silaha za mwaka 1940 hapo utasema kunajeshi? Labda ungesema jeshi letu lipo vizuri Kwa kubangua korosho kwa meno hapo nitakuelewa.Maana kipindi kile tuliwaona walivyomahili Kwa kubangua korosho kwa meno
Watanzania kati ya vitu tunavyo ni JWT ni jeshi limezingatia weledi, mbinu imara katika medani za kivita
Watanzania tuna Imani na jeshi JWTZ na tunaliamini sana
Wanasiasa mmeharibu kila kitu Sasa tunaomba msijaribu kuingilia jeshi letu na kuliharibu
Leo tumeona Kagame kakimbia mwenyewe vita baada ya JWTZ kuonyesha Nia ya kuingia kifua mbele kuwafyeka m 23
Askari wetu wa JWTZ waliouawa ni hakika Kagame alipo anahaha na Nina Imani atalipa damu zao
JWTZ ndo wamemfukuza Kagame na wahuni wa m23 Congo DR
JWTZ waliwawezesha Burundi na Congo DR kuwavamia na kuwafata m 23
Inakadiriwa raia zaidi ya 900 wameuwawa pale Congo DR
Hongera JWTZ Kwa ushindi huko Congo DR
Wako na Uganda amkuu wanerudiahanmji MMOJA walioingia mbwa waleM 23 wameweka mpira kwapani na kukimbia.
Wanasema ati wanasitisha vita lakini kiukweli mziki umekuwa mnene
Wameuwawa wengi kagamae anawaza😂🤣Wapo Gisenyi wanakanda maumivu