Hoja yako ni kituko kumbuka kikwete alichaguliwa na wakristo kuwa rais na Mwinyi pia siyo waislamu peke yao walio wachagua waislamu kuwa marais hivyo kusema kuwa anapingwa kwa sababu ni muislamu ni kukosa akili ....jpm alipingwa sana na wakristo wasio jitambua na atukuona waislamu wakimpinga JPM kuliko wakristo sababu ni kwamba waislamu ni viumbe visivyo na vision yoyote...wao wanaangalia ugali na udini siyo haki. Swali? Ukisema viongozi waislamu upingwa na wakristo je hao viongozi walipataje uongozi bila ya kula za wakristo ? Je kikwete kwenye mikoa yenye wakristo wengi alipata kula kiasi gani kwenye uchaguzi wake wa kwanza ? Je yule CAG anaye miliki ndevu badala ya akili aliye mkashifu jpm kwa kudai til 1 zilipotea azijulikani matumizi yake ...mbona yupo kimya siku hizi au matilioni ayapotei. Nawa akikishia waislamu hii meza itapinduka tu msije kuwa rahumu wasio waislam kwa yale yatakayo wapata baada ya meza kupinduka maana nyinyi no vipofu kuona mbele mnashindwa . Ni sawa sawa na HOJA ZA MASHEKH WENU KUWA KWA SABABU WAISLAMU WALIULIWA MWEMBE CHAI BASI NI HAKI WAKRISTO WAULIWE NA WANYAMAZE... SWALI NI KANISA GANI LILIUA WAISLAMU WA MWEMBE CHAI SIYO CCM NA BAKWATA ! .....HAKUNA TOFAUTI YA HOJA NA DHAMILI ZA WAISLAMU NA ILE KESI ILIYO MFIKIA MFALME SELEMANI YA MAKAHABA WAWILI ...Kasome ile kesi ilikuwaje kitendo cha waislamu kusema kuwa kwa sababu wao waliuliwa mwembe chai na ccm na bakwata basi ni haki wakristo kuuliwa na ccm na bakwata ni sawa kabisa na ile ROHO ILIYO KUWA NDANI YA YULE KAHABA MBELE YA SELEMANI KUWA MTOTO AULIWE TU WAKOSE WOTE...TAZAMENI HUKUMU YA HEKIMA YA SELEMANI ALIYO TOA .