Pongezi kwa mashabiki wa Simba

Pongezi kwa mashabiki wa Simba

Nakwambia hiviii nawapa pongezi mashabiki wa Simba ww hii haikuhusu labda kama una hoja nyingine nikusikilize...
Kama hoja yako ni hyo hapo juu huku kwetu unyamani haina mashiko...
Huku kwetu mkuu Tate Mkuu huku kwetu ni pongezi kwa timu na mashabiki kwa spirit waliyonayo...
Sijasahihisha neno lolote uliloandika.
 
Nadhani kwa mechi ya jana na ile ya kwa mkapa na kwa level ya timu Simba ilocheza nayo...nadhani kwa sasa akili zile za kuambiwa kuwa Simba ni mbovu zitakuwa zimekaa saw..na why imechaguliwa kucheza super cup....
Na kwa mwalimu huyi Robetinyoo tunajiona tuko mbalii
 
KUHUSU SUALA LA USAJILI.

NASHAURI YAFUATAYO.

1. NIMESIKITIKA UONGOZI KUMUACHA BENO KAKOLANYA.
Kupata Golikipa aina ya kakolanya itakuwa mtihani mkubwa sana.
Sijui kama Tutakuwa na Golikipa No 2 mwenye ubora wa Kakolanya.
Sijui kama hatutaenda Nje kutafuta mbadala wa MANURA.

2.UBAHILI NA 10% KWENYE IDARA YA USAJILI.
tumeshuhudia wakiletwa wachezaji cheep mno kwenye usajili wachezaji wenye uwezo mdogo sana na gharama ndogo sama

3. USAJILI WA QUALITY NDOGO NA KUKOSA SCAUT WAZURI.

I. Ismail sawadogo.
II .mohamed Qottara
III. Augustino Okkrah. (9)
IV. Peter Banda.
V. Sadio Kanute atafutiwe mbadala(8)
VI. Sackho nae Atupishe.

4. WACHEZAJI WAZAWA NAPO NI SHIDA.
Changamoto ya umli.
Nyoni, Boko, mkude,
Viwango vidogo.
Kapama, Gadiel, Mwanuke,

MASHABIKI TUMECHOSHWA KUISHIA ROBO FAINALI.
TUNA HELA ZA KUTOSHA KWA AJILI YA USAJILI.
HELA YA SUPER CUP 4 BILION.
HELA YA CAF. CAFCL 2 BILION

UONGOZI PUNGUZENI UBAHILI
ROBERTINO ASAJILI.
 
Sadio kanute sijakuelewa hapo...
Mimi nachoona wamesajili wengi ambao hawachezi kwa muda mrf na kuwa na fitness nzuri labda wangepata nafasi wangeimarika..walisajili wengi kupita uwezo wa benchi la ufundi.
 
Nakwambia hiviii nawapa pongezi mashabiki wa Simba ww hii haikuhusu labda kama una hoja nyingine nikusikilize...
Kama hoja yako ni hyo hapo juu huku kwetu unyamani haina mashiko...
Huku kwetu mkuu Tate Mkuu huku kwetu ni pongezi kwa timu na mashabiki kwa spirit waliyonayo...
Basi na mimi nichukue nafasi hii kuwapongeza kwa kuishia hatua ya robo fainali.

Sasa Taifa limebakiwa na timu moja pekee inayoitwa Young Africans katika haya mashindano ya CAF. Ikiwezekana mashabiki wa simba wote mjitokeze kwa wingi hiyo kesho kuwashangilia Wananchi wa Tanzania.
 
Yaani tutoke kushangilia mieleka turudi kwenye rede?Anyway,nitajitahidi mtani.😂😂😂
 
Basi na mimi nichukue nafasi hii kuwapongeza kwa kuishia hatua ya robo fainali.

Sasa Taifa limebakiwa na timu moja pekee inayoitwa Young Africans katika haya mashindano ya CAF. Ikiwezekana mashabiki wa simba wote mjitokeze kwa wingi hiyo kesho kuwashangilia Wananchi wa Tanzania.
Sema mashindano ya CAF kombe la waliofeli aka vilaza
 
Basi na mimi nichukue nafasi hii kuwapongeza kwa kuishia hatua ya robo fainali.

Sasa Taifa limebakiwa na timu moja pekee inayoitwa Young Africans katika haya mashindano ya CAF. Ikiwezekana mashabiki wa simba wote mjitokeze kwa wingi hiyo kesho kuwashangilia Wananchi wa Tanzania.
Sisi ya Yanga hayatuhusu hapa ...
Tutajua hyo kesho na moody tutakayo amka nayo..by the way nyie pambaneni na yenu hilo ni kombe tofauti kbs na letu..yani huko hapatuhusu 😆
 
Mmepata kocha mzuri,tulizeni akili na msikilizeni atawavusha........mkileta mbwembwe zenu za kutimua makocha kila siku......kuweni na uvumilivu

Guvu moya 😀
 
Sanaaaa,maana walijua ni kipigo heavy kitatokea ndani ya dakika 90.

Sasa hiyo ya kutoka kwa penalts imewauma sn.Na vile Simba katikisa Morocco na kuwafanya wabaki kimyaaaaa imewauma sn sn
Wakikumbuka Simba haitetemeshwi na mabingwa watetezi...maana na wao uto walipewa kipigo heavy cha 2 kwa nunge..
Na wydad nae akala kimoja...basi hawana hali
 
Back
Top Bottom